mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kwani wale waliyotajwa kwenye report ya CAG wametoshekaNanyi Askari, toshekeni na mishahara yenu!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wale waliyotajwa kwenye report ya CAG wametoshekaNanyi Askari, toshekeni na mishahara yenu!
Mimi sio kijana ndio maana nikapata confidence ya kumgombezaVijana mna masifa kweli kweli mkipata vi cheo kidogo tu basi ,sasa ulimgombeza Askari alikuomba wewe hiyo rushwa?
Kweli kabisa... na mada ingeishia hapa.Bora wao wanaomba wanapewa kuliko wale wanaopiga mabilioni chini ya serikali ya samia. Huyo askari umemuonea tu.
Wanajenga majumba ughaibuni? Mbona wengi huku wanaishi kwenye nyumba full suit ni mabati?wakati wa mchana wote wanakaa nje kwa sababu ya joto kali ndaniKwa asubuhi hii hiyo inaitwa ya chai, baadae mchana watatafuta ya lunch, na jioni watatafuta ya chakula cha usiku.
Mishahara yao wanajengea tu mijumba.
Sawa kabisaMkuu ungemuacha tu, hao ni dagaa tu a mbao wanachukua 2000 na wengine 5000 ambazo haziwewi kiathiri sana.
Wanaotuumiza ni ma papa ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG kama vile upotevu wa trillioni moja ya tanrod, matumizi makubwa ya mama kwenda dubai na kulipa mabilioni ya pesa huku watz tunataabika na miundombinu mibovu nchi nzima.
HakikaLah, inabidi kukubaliana nawe katika hili.
Kwa kweli ni bora kabisa kwa hao wanaoomba, kwa sababu unayo hiari ya kukataa, hata kama utanyimwa haki yako kwa kutotaka kushiriki kwenye hujuma hiyo.
Hawa walioko huko serikalini, hata hawatupi nafasi ya kuwakatalia wasizoe mali zetu!