Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

TATIZO hiio miezi mitatu na yeye anageuka kahaba
 
Huwezi amini alikua hapiki Wala haangalii watoto yeyw ni kujua wameamka shule na wamelala anawahi kazini na kuja kulala karibu mwaka Sasa na nilikua navumilia kisa anadai ana tafuta hela ya kusaidia kwao..... Siku lalamika ila kwa ishu ya kuxhapiwa asikwambie mtu
 
Kunywa maji ntalipa😝😝
 
Alikwambia! Au ulijuaje kama anachepuka?

 
Alikwambia! Au ulijuaje kama anachepuka?
Niligundua mawasiliano yako wakiongea na jamaa kupitia simu yake ndo ikabidi aseme ukweli kua anamahusiano na huyo mtu na kunisanukia hata alivyokua hakulala nyumbani alikua kwa jamaa ila haku sex nae mpaka leo😤😤 dahhh mwanamke ananiona zuZu balaa
 
Mwanaume halisi harudii mwanamke msaliti kwa sababu yeyote ile. Mwanamke hasaliti for funny kama mwanaume. Mwanamke husaliti kwa kuvutiwa na kitu/upendo. Ukimsamehe hataacha kamwe hata aombe msamaha wa aina gani. Unachopitia ni kitu cha kawaida haswa kwa vile umesema si mtu wa michepuko na pia alikua rafiki pia. Kamwe usimrudie kwa sababu yyte ile. Inuka, songa mbele ila kama unajiweza sepa, muache akae na watoto hapo mgetoni, hiyo ndio principle yangu ikitokea nimetengana na wife. Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu alishaliwa, achana nae mazima utakuja kunishukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK

Kuna Mambo ya Kusamehe ila sio Kugongewa na MASELA.
 
mkuu ukimrudia sio dhambi, mpigie simu arudi nyumbani
 
Basi angelipiza nikiwa na hela
Ego yako imekuwa so bruised.
TAFUTA HELA.
ILA PIA FANYIA KAZI VITU VIWILI
-KUJIAMINI.
-UTAWALA WA KIUME.

Sisi wanawake hatupendi sana wanaume wa aina yako.

Mi hapa unavolalamila lalamika hivi yani uuuuuuuwih najikuta tu nakosa poz.

This isn't ideal kind of man ,a woman wud settle with , let alone settle for less.
Na hata akishasettle ,kukukimbia rahisi sana.
Akikutana tu ni mwenye personality ya umiliki na utawala kukuacha ni dk sifuri.

Niamini mimi, you are too naive.
Too fragile.
Ulikuwa mume but hukuwa na ownership kwa huyo mke.
Mwanamke akikosa kumilikiwa ( haihusishi hata kidogo na ukatili, unynyasaji)
Humpi sababu ya kuwa mkeo au kuendelea kuwa mkeo.

Ungenioa mimi , we hata mwezi usingemaliza.
Kwanza sijui hata ungepeleka posa kwetu.
Ah, hata kwanza usingenitongoza.
Kila siku ungekuwa unalia lia.
Na nisingekuelewa still.

Sijakutukana, nimekuwa tu mkweli nikusaidie.
Una mengi ya kufanyia kazi ndani yako kabla ya kufikiri ndoa inakuondolea ukamilifu.

THE INNER YOU ndo kuna shida, na hii usopoifanyia kazi.
Kila siku utakuwa na threads hapa.
 
Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia
Dah, nakumbuka swali "Hivi Baba, kwanini hukumuoa Mama?" Mmmmmghhh
 
Unarudiana na malaya....??...NEVER.NEVER....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…