Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

hahaha jamaa dhaifu sana ila okay kosa lake omba wewe msamaha mkuu mrudiane but kama kapata ujasiri wa kwenda kuishi na huyo mwanaume dah sioni upendo hapo angeenda kwao sawa ila kasepa kwenda kwa jamaa Mungu akutangulie.
 

Anakufa yule ambaye amewekeza kwa mwanamke, these days things have changed. Not as before, siwezi mpa mwanamke asilimia zote. Hata kama akiamsha hainiumi.
Na haya ndio madhara ya kuishi unamtegemea mwanamke au Mwanaume awe chanzo cha Furaha yako.

I trust no body except Me.
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

Inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...

Hii ya kupita ndondo Cup watu wanaichukuliaga masihara ila inasaidia sana. Just imagine, getting married without being heartbroken even once alfu ndio uje Uzinguliwe kwenye ndoa si itakuwa kama huyu Jamaa.

Wanaomfahamu wajitahidi kuwa naye karibu anaweza akafanya ujinga wa kujitoa uhai. Heartbreak’s pains are unbearable.
 

Kama uliyoandika kumhusu ni kweli na kwa Amani amekuachia watoto wa miaka 7 huyo hakuwa mke na shukuru Mungu kaenda!

Unaweza kuteseka ila upo kwenye njia sahihi, achana naye kabisa, haya yote utayazoea!
 

Polee sana Mkuu
Jikaze kaka, usithubutu kurudiane naye. Utasumbuka kwa muda tu ila baadae utazoea. Lakini liwe funzo kwako na wenhine mnaojidanganya Kuwa Marriage is a a sacred thing mnaacha hata kuwa na Back up somewhere. Katika maisha yangu haya sitaweza kukaa na Mwanamke mmoja.


Back up is for everyone, people are cruel and heartless. Don’t ever forget and trust somebody. Utaishi kwa amani sana. I am very sorry, this too shall pass.
 

Mkuu pole sana, ila usifikirie habari ya kuua.
Move on, ikibidi ondoka hapo nyumbani ukae mbali naye. Utazoea tu japo ni ngumu ila inawezekana. Polee sana
 
Wewe hujawahi kumsaliti?

Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie[emoji848][emoji848]

Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki

Yaani kama kunisaliti anisaliti tu, Haijalishi mimi nimemsaliti mara ngapi. Ila nisijue, that’s it. Siwezi kusamehe mtu nimemkamata red handed.

Code: Cheat unavyojua ila usikamatwe.
 

Kama haukula ujana vyema, ndio maana unateseka.
Kwa uzoefu wangu wa kuwafilimba na nimeachana na mademu kibao. So kuachana na mtu hakunitoi roho walah hata.
 
Ningemsamehe tatiZo njia aliyotumia

Ulikosea kumsaliti mwenzio in the first place na yeye amekosea kukulipizia kwa kukusaliti. Usaliti unaumiza pande zote. Jipe muda, tulia jiuguze maumivu yako na yeye ajiuguze ya kwake. Baadaye kaeni muone namna ya kuweka mambo sawa. Hakuna kisichozungumzika. Naamini muafaka utafikiwa tu
 
Hapo kwenye shirk nimepapenda sana Wittie,...afu we mtt huwa nakuhusudu kinyama yan,,,,,,dooh!!!
 
Pole ndugu yangu ndio ukubwa..ila mwanaume inauma ukisalitiwa askwambie mtu.
 
Kama wewe ni family man utanielewa kinyume huwezi kunielewa
Kama mwanamke atakuja kukuomba msamaha na kweli ameregret hapo unaweza kumfikiria. Otherwise achana naye. Peleka watoto kwa bibi tafuta mwanamke ambaye ataweza kukusukuma katika kipindi hiki ili uweze kusahau maumivu (temporary wife). Baadaye utarecover na kutafuta wa kukufaa. Jipende mwenyewe enjoy your life. You deserve best. Acha kumfikiria.

Sent from my SM-G530W using JamiiForums mobile app
 
embu fafanua vizuri umiliki kivipi vipi
 
Umemaliza mkuu, akitaka aje kufa amsamehe, mwanamke alitombwa nje haachi hata aje huku anatambaa kuomba msamaha.
 
Wife (woman) who can sleep with another man(whose not her husband) can kill you [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…