Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

ni kweli asilimia kubwa ya mabibi huaribu watoto LAKINI SIO wote
 
"Sasa hivi jamaa anakatikiwa viuno uzazi huko"
-Isaack newton-
 
Dah binafsi sijauelewa huu ushauri wako kwa jamaa huyu.

Yani mke agongwe afu nijue,nimfukuze ,kisha nikamuombe turudiane kweli Mimi mtoto Wa mama marwa siwezi,,watoto wataenda boarding kwa kweli.

Ila ushirikina pia upo na unafanya kazi.
 
Hapana

Kati ya vitu mwanamke yuko makini ni kuzaa watoto nje labda uwe huna mbegu mume[emoji848]
Hapo ndipo tunaposhindwa kuelewana... wewe unazungumzia mwanamke na mimi nazungumzia "mwanamke mzinzi"
 
Pole sana kaka.
Mimi ninaeielekea I am so positive about it. Kwanini? Sababu kuna makosa hata tukiwasamehe watu,they will keep on doing it over and over again.
Stay focused,inaumiza sana hata mimi napitia maswali magumu sana kwa situation yangu but uzima na amani ya moyo ni muhimu kuliko muonekano wa nje huku ndani ni shida.
" Linda sana moyo wako maana ndimo zitokazo chemchem ya uzima"
 
Kwa taarifa yako huyu mleta mada alikuwa na michepuko ya kutosha tu mbona mke kalipiza na yeye analia lia hapa

Sio kweli Mkuu. Kama ni Mimi sioni tabu, tunaachana tu sina cha kupoteza kama ninaweza ku breath in n out.
 
Napigania Hilo Sasa. Ahsante kwa ushauri
 
Haina maana yoyote kuchukua uamuzi ambao unaendelea kujutia,naona usijipe magonjwa ya moyo kisa papuchi na inawezekana wewe ndo chanzo cha yeye kuchepuka,emu mpe nafasi nyingine ,emu chukua mda tafakari mazuri yake na nyakati nzuri za furaha mlizokuwa pamoja then fanya maamuzi ambayo hayatakuumiza
Muhimu,mpe nafasi tu
 
Sio kama haya ni maumivu ya Musa tuu ntakaa sawa
 
Ila na we ni boya unakubalije et ulichepuka na wakati ushahidi hakuna,yaani et mtu anakubana tu unakubali,hilo ni kosa kubwa ulifanya na usije ukarudia maisha yako yote,yaani angalau akufume laivu na hapo unasema hazikuwa ni akili zako na hujui kama ni wewe,watu wanakana hadi video wewe unakubali kwa maneno tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…