Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nakubali nilikosea..... Ila ni miaka minne iliyopita Sasa hivi ishu ni kwakua sina pesa
Huna kazi?

Basi ndo maana unalia lia

Ukiwa huna hela mapenzi ni yanakupelekesha vibaya vibaya

Huyo mwanamke kakimbia ufukara, kibaya zaidi ukajit0mbesha nje hadi akajua ndo maana full dharau!

Ila Stone utawala wake umedhalilisha wanaume jamani mweeh[emoji848]
 
Yes ukinifuma mimi hamna shida. Ila mimi nikikufamania basi hairuhusiwi kuendelea na wewe.
 
Kweli best Wala sipingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mkuu tuna share experience..

Nyie mkifumania sio kweli kuwa mnasamehe, bali mnajipanga kulipa kisasi na mara nyingi inakuwa mbaya mno..

Bahati nzuri ikitokea nimejua, ndoa au mahusiano ndio basi tena.
Mi binafsi nilimpanga mapema akiliwa nje ndoa basi
 
Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
Wewe umejuaje kuwa tukipigiwa magoti tutakumiliki?

You're not correct in your judgement [emoji848]
 
Ukisahau watoto ndio utakuwa dhaifu zaidi.. Kama unataka kupona maumivu na hujui ufanye nini, nenda barabara ya13[emoji1]
Kuna mteja wang mtu watanga alinitaka akaniambia nikimkubalia atanisahaulisha familia yangu.... Nilitoka nduki baalaa
 
Watu huwa wanaamini wanaume hawaumizwi na mapenzi au mambo ya.hisia.

hehehhehe mo katika watu nawaheshimu wakiwa vulnerable ni wanaume.
Kwanza hata kuandika tu hapa.
Pili unaona hata namna anaizungunzia ndoa yake, sio kuwa yeye yuko clean or what but anatake responsibility kwa ilipofikia.
Mi nimemwelewa sana!
Lakin atakuwa tu poa!
Penzi likivunjika linauma bana, sembuse lililofikia ndoa na watoto.
Weeeeh.

Hata kujimwambafai kuwa chukua mwingine weka ndani ni kujipa tu moyo.
Ukikaa mwenyewe unakiri kabisa
"Fuuuuuck I'm striked"


Kwa Wanaume Mkuu it is easier say than don
 
You nailed dude!!!💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…