Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Kuna mteja wang mtu watanga alinitaka akaniambia nikimkubalia atanisahaulisha familia yangu.... Nilitoka nduki baalaa
Trust me.
Usianze kuhangaika na wanawake.
Utakutana mafamba kibao worse zaidi ya mkeo.
Utajichanganya wewe na wanao.
Huna huo uhimili wa kudeal na broken heart nyingine sa hiz.

Be a man mom.
Mtakuwa tu sawa with time.
Watoto wako wanakuhitaji zaidi kuliko wanavyomuhitaji bibi yao.
 
Wewe umejuaje kuwa tukipigiwa magoti tutakumiliki?

You're not correct in your judgement [emoji848]
I'm more than correct, ili familia ieleweke ma itawalike lazima kiongozi awe shupavu ndiyo maana hata raisi akikosea huwezi kukuta kampigia mtu makofi ila utakuta amempa favour flani tu lakini humkuti kapiga magoti. Ila ukipiga magoti tu umeshaharibu akili yake kwamba yeye ni zaidi yako na hiyo ni maana halisi ya kupiga magoti. Mwanaume anayejuelewa hawezi kupiga magoti kwa mwanamke na akifanya hivyo madhara yake ndiyo kama haya ndoa imekufa kwasababu alishindwa kuimudu vizuri.

Anyway, hichi ni kitu Cha wanaume unaweza usikielewe sana, lakini wanaume wabishi wengi ndiyo huwa wanaishia kupoteza ndoa yenyewe au kutawaliwa na madhara yake yanajulikana na hata akikutana na wanaume wenzake anaambiwa UKWELI.

Hata mtoa mada kakuambia kwamba alipoenda kwa wazee walimuambia kosa kubwa ni Hilo tu.
 

Acha ufala dogo piga chin uyo mwanamke hakufai ,yaan mtu kakucheat akaondoka na nyumban kuomba msamaha hatak wann uyo
Mwanamke mzinzi hatakiw kusamehewa ata siku moja
Alafu inaonekana alikushika sana yaan unaulizwa kama ulichepuka unakubal we n mshamba wa wanawake
La mwisho chek DNA hao watoto huenda si wako pia
 
Wa kwanza
Dah ndio maana mzee, sema umefeli sana ila sio kesi! Kama vipi muache atulie kwao kwanza kama yupo kwao maana kufosi sahizi haifai kashapotez mvuto na wewe!

Akili yako ikitulia ndio mtaftane maana wewe umezingua mwanamke siku zote haambiwi asichotaka kusikia mzee! Kitu chochote ambacho kitam put off usiseme tunza siri tu hasa mambo ya umalaya! Hata akikumata red handed kataaπŸ˜… kwa nguvu zote
 
Kama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessj
Wanawake wanaovumilia waume zao wakichepuka ni wengi sana mkuu, ila mwanaume kumvumilia mke aliyechepuka ni ngumu mno mno.
 
Wewe hujawahi kumsaliti?

Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie[emoji848][emoji848]

Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki

Mwanaume huwa hasaliti ndoa, yeye anakutwa tu. Anayesaliti ni mwanamke na according to men mke akisaliti ndoa dawa ni talaka, ila mume akikutwa na michepuko mke anatakiwa kusamehe. Wanaume wote wanaishi humo [emoji23] hiyo ndo falsafa yao na huwatoi hapo.
 
Its not easy to deal with the feeling! Somebody toasted my wifes butts!
 
Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
Damn son! This nigga wasted...πŸ˜…
 
[emoji16][emoji16] mzee wa makaburi

Huyu mleta uzi mbona muongo hivi? Kumbe miaka mitatu ndoa chali yeye anasema mwezi? Daah[emoji134]
Hapa kuna ukakasi sana.
Ili tutoe ushaur mzuri ni vyema kujiridhisha na post zake za awali.
 

Kumbe amelipiza [emoji3], wanawake bwana si angeacha tu lipite. But anyway nyuzi nyingi zinazoletwa humu ndani kuhusu wanawake kusaliti zinasababishwa na wanaume wenyewe. Mwanaume akisalitiwa anaona yataisha tu kirahisi, subiri asalitiwe yeye, uchungu kama wote. Pole sana kaka, with time utakua sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…