Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
We surely gonna be dead!
 
Mkuu,humu huwezi kupata majibu mazuri,zaidi utaongeza stress tu.

Mapenzi bwana!!!

Cha muhimu ni kwamba kaa,tulia,waza,fikiria mara mbili,kwakuwa inaonekana unampenda mkeo fanya mpango arudi maisha yaendelee.

Jeuri ya kumpa talaka mwanamke inaanzia hapa,

1.Your life style,una mkwanja wa kutosha?

2.replacement kabla ya uamuzi wako wa kum divorce mkeo.


Relax mkuu,mbona kawaida tu Mimi nipo hapa nasikiliza wimbo wa Darasa _royalty
Ishu ni fedha tuu
 
Huna pesa ndio mana unambwelambwela uonewe huruma, ungekua na pesa chafu usingekua na huuu muda wa kulialia kummisi mwanamke, ungekua unammisi mama yako mzazi ingekua vyema lakini mwanamke mmekutana tu na mmeoana sijui unaanza kulia lia , hua nakwazika sana na wanaume wa sampuli yako, embu badilikeni, tafuta pesa, watunze wazazi wako kama wapo, full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
U nailed it... Mwanaume unakaa unalia lia kwa ajili ya mtu uliyekutana nae tu ukubwani tena mwanamke??? Stupid kabisa tena mbaya zaidi umepigiwa
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).

Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke nnaopata Hadi nakonda na hamu ya kula inaisha.

Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli💘. Nahisi
Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana na teseka

nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi Kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia .

Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee Kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late.

I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili take.

Usiombe
Watu hujifunza kutokana na makosa, mrudishe mkeo, watakaoteseka hapo ni watoto
 
Usiwahi muamini mwanamke, msikilize lakini uwe na second thought.. Mara nyingi wanaongea kufurahisha baraza ila ukweli wa mambo ni tofauti kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huwa nawafananisha na sisi wanaume tunapokuwa tunamtaka mwanamke huwa tunampa sifa hata asizostahili ili kumpata, halafu wao wanafurahi balaa wakati anajua kbs sifa nyingine anazopewa hanazo
 
Mi simuelewi maana kwakua jamaa aliyejichanganya nae naskia ni tapeli tapeli Sasa anataka tusiachane maana Hana uhakika na alipo angukia
Nilidhani hata kuwa yupo kwa wazazi wake,kumbe kuna muhuni anaishi naye..hapana aisee,huyu si wa kumrudisha nyumbani.
 
Dah ulifanya kosa kubwa Sana kumpigia magoti[emoji37][emoji37][emoji37]. Yaani hapo alishaona kakushika kwahiyo anaweza kufanya lolote ndiyo maana akachepuka bila ya uwoga akijua kabisa ikigundulika huna Cha kumfanya.

Kila siku tunasema mwanaume usikubali kushuka chini mwanamke ukapoteza ukichwa, unakuwa umemjengea akili Fulani ambayo inamfanya ajihisi Yuko juu yako na mwisho wa siku anaweza kukosea makusudi tu kwa sababu aliona udhaifi kwako. Wanaume tuna njia za kuomba samahani ambazo zinaiacha salama status yetu ya kiongozi wa familia.

Ndoa zingine tunaziharibu wenyewe.
Asa huyu fala kweli kamwambiaje demu kuwa aligonga nje? Sindio maan mwanamke nae kamlipizia
 
Nyie wanawake nani amewapa privilege kubwa hivi? Unadhubutu kusema divorce wanwake tu ndio wanaiweza?
Ameudie malaya kama wewe. Huyo ni malaya. Hafai kuwa mke kabisa na namshauri jamaa aachane kuwa weak. Kuna wanawake wazuri sana ambao wanaheshimu ndoa wanaweza kukaa nayeye. Awe na subira na asiache watoto kwa bib.
Nashauri ahame nyumba waliokuwa wanaishi.

Mwanamke sio chochote. Ni kama nguo, ikiisha unavua. Mwanamke hana thamani kumzidi mwanaume hata kwa siku moja.
Tangu lini tukapangiana cha kukomenti humu??

Wewe toa ushauri wako lala mbele...kila mmoja anavyochukulia hili suala ebooh!

Hiyo thamani, sijui mwanamke Malaya, ni kama nguo fyokofyoko, nyokonyoko is up to you!

Wewe bila mwanamke ungekuwa hapa unajijambia?...lione mfyuuu[emoji57][emoji57]
 
Tangu lini tukapangiana cha kukomenti humu??

Wewe toa ushauri wako lala mbele...kila mmoja anavyochukulia hili suala ebooh!

Hiyo thamani, sijui mwanamke Malaya, ni kama nguo fyokofyoko, nyokonyoko is up to you!

Wewe bila mwanamke ungekuwa hapa unajijambia?...lione mfyuuu[emoji57][emoji57]
[emoji1751][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom