Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

OLE WAKO uoneshe kwake kuwa hauna sehemu nyingine ya kukupa furaha isipokuwa wewe UMEKWISHA. Wanawake wanaishi kimazoea na akitambua kuwa huna mbele wala nyuma kwake basi utakuja kulia kama katoto

Achana naye acha aendelee kutumika huko nje
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).

Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke nnaopata Hadi nakonda na hamu ya kula inaisha.

Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli💘. Nahisi
Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana na teseka

nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi Kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia .

Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee Kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late.

I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili take.

Usiombe
Nakushauri kwa Moyo mkunjufu na mnyenyekevu, piga moyo konde na endelea na maisha yako huku ukilea watoto wako.

Talking from experience, you will thank me later.

All the best
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Mke ndo msaliti halafu msamaha aombe huyu jamaa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa siyo ME si rahisi kuelewa. Nyinyi ni rahisi sana kusamehe ME aliyechepuka hata kama ni ndani ya ndoa, lakini ni ngumu sana kwa ME. Jamaa anahofia angeweza kumdhuru mkewe au hata kumuua kwa hasira alizonazo. Ni bora aliondoka.
Na wewe uko hivo?
 
Mke wangu asije akaniacha nitaumia mno halafu hata mama yangu mzazi naweza kumpoteza kwa sonona mke anaumwa mno kwa mwanaume hasa pale utakapoanza kupigiwa baada ya kumuacha.
Hivo? Na nyie viboro vyenu vinavyoshinda nje vinafanya tour in different pussy mnahisi hatuumii eeh?[emoji848]
 
Mkuu!Usingetafuta Talaka wala nini!Ungemwambia abaki hapo mlee watoto bila mahusiano nae!ungetafuta chumba cha kupanga ukamuacha pale alee watoto wako!!!Na wewe utatafuta wako mwingine uanze maisha mapya kabisa huko kwenye nyumba ya kupanga!!!HUWA HATUACHI WANAWAKE TUNASITISHA MAHUSIANO TU BASI!!!
 
OLE WAKO uoneshe kwake kuwa hauna sehemu nyingine ya kukupa furaha isipokuwa wewe UMEKWISHA. Wanawake wanaishi kimazoea na akitambua kuwa huna mbele wala nyuma kwake basi utakuja kulia kama katoto

Achana naye acha aendelee kutumika huko nje
Hatumiki asee...anapata Faraja

Ukuni + matunzo
 
Mkuu!Usingetafuta Talaka wala nini!Ungemwambia abaki hapo mlee watoto bila mahusiano nae!ungetafuta chumba cha kupanga ukamuacha pale alee watoto wako!!!Na wewe utatafuta wako mwingine uanze maisha mapya kabisa huko kwenye nyumba ya kupanga!!!HUWA HATUACHI WANAWAKE TUNASITISHA MAHUSIANO TU BASI!!!
 
Demu tu niliyeishi naye kwa miezi 7 (niliwahi kuleta uzi) leo kufungasha akaanze maisha yake, hapa tayari kitanda kikubwa natamani arudi japo nilikuwa nishamchoka…. sembuse mke..!!

Nyieee..!![emoji1614][emoji36]
 
Ni kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??

#chanzo Mimi simtimizii nahitaji yake yooote
Dah sasa mzee baba humtimizii mtu mahitaji yake then what do u xpect halafu unapata wapi guts za kumuita mke while hujawa mume kwake? Anatimiziwa na watu wengine
 
Hahahahahahaha nyie mna huo uwezo wa kusamehe na maisha yakaendelea lakini ME kuingiliwa maeneo yake ya kujidai kusamehe ni ngumu sana. Umeshawahi kuwaona majike ya wanyama wowote wale hata kuku wanagombea MadumeLakini jogoo na wanyama wengine madume yanapigana sana kwa sababu ya majike.

Hivo? Na nyie viboro vyenu vinavyoshinda nje vinafanya tour in different pussy mnahisi hatuumii eeh?[emoji848]
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Huyu mtu amesema hapo chini, anaweza pelekwa jela.. Bahati mbaya wakati yupo jela, mke wake atakuwa mochwari...
Ni vema hayo maamuzi!
 
Dah sasa mzee baba humtimizii mtu mahitaji yake then what do u xpect halafu unapata wapi guts za kumuita mke while hujawa mume kwake? Anatimiziwa na watu wengine
Basic needs Kama mke na mama watoto alikua anapata kwangu alichokitafuta nje ni kupagawa kwakukosa luxuries
 
Back
Top Bottom