Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wenae sio roho inamuuma hakutegemea kumkuta anajiuza kibaya akamwambia yeye ndio sababuahaaa kumbee!sasa huo wivu anaupataje na huku walishaachana!
kwan maana ya ex ni nn jaman!dah tunapishana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wenae sio roho inamuuma hakutegemea kumkuta anajiuza kibaya akamwambia yeye ndio sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuachana na ex wako kiroho safi tu sio lazima kwa kukombana na haimaanishi akiwa na tatizo kubwa sitoweza msaidia (kwangu mimi binafsi)
[emoji1] wala kwa nini ujute?Najuta kuyasema haya.
Lete tathmini za kitaalamu /data zilizofanywa na balance wanaume na wanawake wakaonekana wanaume wamezidi
mtumie mpesa uone kama atairudishaaInawezeka kwasababu unamjua yeye na mtu wake wa kwanza.
hngera sana mkuu ! mie huwa natoka moja kwa moja sifanyag uturn hata kidg ! ni one way! scraper tu
kapime nae uchukue mzigoNahisi kilio chake kinanihukumu maana tangu nimuache naokota magarasaaa! Karma is a B.itch!
Ila nyie hakuna mwanaume anaetulia Na mmojaLete tathmini za kitaalamu /data zilizofanywa na balance wanaume na wanawake wakaonekana wanaume wamezidi
Ofcoz sio wote, yaani inategemea tumeachana kwa sababu zipi na nilikuwa namchukuliaje,sema mostly huwa niko hivyo tu!
Kama hivo kwann imeniuma nlivokuta ameolewa?
Sawa niwewe ila ni kumi kwa mmojaKama hivo kwann imeniuma nlivokuta ameolewa?
Kama ngekuwa sijatulia na mmoja!
Hujapenda wewe[emoji12] [emoji12] [emoji12]hakuna kitu ambacho hua naamin hakuna dharau kubwa km kurudiana na ex jaman !hv huwa mnamanisha hakuna mwingine au ni 'MAZOEA'? unajua unadharaulika sana !hehhhe over ny dead body siwez mie jaman !kwakweli [HASHTAG]#hongera[/HASHTAG]
hakuna kitu ambacho hua naamin hakuna dharau kubwa km kurudiana na ex jaman !hv huwa mnamanisha hakuna mwingine au ni 'MAZOEA'? unajua unadharaulika sana !hehhhe over ny dead body siwez mie jaman !kwakweli [HASHTAG]#hongera[/HASHTAG]