Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wenae sio roho inamuuma hakutegemea kumkuta anajiuza kibaya akamwambia yeye ndio sababu

Sent using Jamii Forums mobile app

teh teh anajitetea tu kwan huyo men ndo' NJIA' kusema hataona njia ! au yy ndo' MAJI'? mie sababu nyepesi za namna hii huwa nazipinga saana tu !huyo ameamua tu fulstp
 
Unaweza kuachana na ex wako kiroho safi tu sio lazima kwa kukombana na haimaanishi akiwa na tatizo kubwa sitoweza msaidia (kwangu mimi binafsi)

hngera sana mkuu ! mie huwa natoka moja kwa moja sifanyag uturn hata kidg ! ni one way! scraper tu
 
hngera sana mkuu ! mie huwa natoka moja kwa moja sifanyag uturn hata kidg ! ni one way! scraper tu

Ofcoz sio wote, yaani inategemea tumeachana kwa sababu zipi na nilikuwa namchukuliaje,sema mostly huwa niko hivyo tu!
 
Ofcoz sio wote, yaani inategemea tumeachana kwa sababu zipi na nilikuwa namchukuliaje,sema mostly huwa niko hivyo tu!

hakuna kitu ambacho hua naamin hakuna dharau kubwa km kurudiana na ex jaman !hv huwa mnamanisha hakuna mwingine au ni 'MAZOEA'? unajua unadharaulika sana !hehhhe over ny dead body siwez mie jaman !kwakweli [HASHTAG]#hongera[/HASHTAG]
 
No ninavyo msaidia ni pale tu ninapomkuta na shida kubwa na hana msaada wowote mfano hyo situation aliyo elezea mtoa uzi, sina maana kwamba nataka kurudiana nae, basi tu kama kipo ndani ya uwezo wangu namsaidia alafu kila mtu na njia yake!
 
Back
Top Bottom