MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Uzi ufungweHongera kufungua kitega Uchumi Mkuu, kupitia biashara pamoja na mshahara na Mapato mengine, kutasaidia familia yako iwe na ustawi mzuri
Ninachokushauri, nenda kampangie Chumba huyo Dogo wako wa Saluni ili wewe na Mkeo muwe huru
Sio Wanawake wengi hupendi Wageni, Wageni hufanya msiwe huru
Kama Mkeo alizoea kukaa na wewe mkikumbatiana sebuleni, kwasasa hapati Tena huo Uhuru
Jitahidi umpe furaha Mkeo
Kila la heri kwenu
mashetani ya ticktock hayawezi kukuelewa mkuuMtoa uzi namuelewa, ukiwaza kwa context ya mambo anayofanyiwa dogo utajua huyo wife anakosea
UKIISHI KWA NDUGU KAZA MOYO
...
My teenage nimekulia kwa aunt vitimbi visirani vingi ila nilijifunza kuangalia mema tu
...
Yule mama MUNGU ampe siku nyingi licha ya yote niliyopitia kwake
kwani mkeo ni ndugu na mdogo wako?,Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Ungejua ni ya familia ungebaki nayo huko kwa kua umeyaleta huku siyaachi bana.....hivo vimtu mkishavitoa bush kikijua kuoga kitapapasa watoto nakwambiakila familia ina utaratibu wake acha kuleta ujuaji kwenye familia za watu
Shukrani Mkuu 🙏🙏Uzi ufungwe
umeoa?We jamaa mpumbafu sana, hata kama huyo mke hana kazi ila mthamini. Mtu kamaliza form four atengewe chai ? Na sio kua kaja kusalimia amekuja kukaa kabisa?
Hapo mke akitafuta faraje nje sawa tu mana we mbweha unamchukulia mkeo km house girl,
Unatudhalilisha bwana. KIKAO CHA MWISHO HAUKUEPO WEWE?
Aiseeeee!!!!yap heshima first.
Hakuna cha nyama wala nini,huu ni ugomvi unaohusu Maandazi na shati jipya,au hujasoma mada?Tanzania Kuna shida kubwa Sana ya uelewa...
Wewe kumuandalia CHAKULA umeelewajee??
Mbona jamaa kasema vizuri TU
*Kuandaa CHAKULA ni neno lenye tafsiri nyingi/panaa
Mf. Kupika na kuweka mezani au e.t.c
Huyo kijana CHAKULA kipikwe aende kujipakulia mwenyewe??!! Jikoni akipakua NYAMA kubwa kubwa☺️
Hii iko sawa tu mbona, nina imani kinapikwa cha pamoja na kuwekwa mezani.Tanzania Kuna shida kubwa Sana ya uelewa...
Wewe kumuandalia CHAKULA umeelewajee??
Mbona jamaa kasema vizuri TU
*Kuandaa CHAKULA ni neno lenye tafsiri nyingi/panaa
Mf. Kupika na kuweka mezani au e.t.c
Huyo kijana CHAKULA kipikwe aende kujipakulia mwenyewe??!! Jikoni akipakua NYAMA kubwa kubwa☺️
Kwa avatar yako hiyo wala hata usikomemtAiseeeee!!!!
Kwa comment yako hii hata nikichotaka kukushauri nimeacha..
Kabisa mzee mwenzangu ,kheri ya mwaka mpya .Shukrani Mkuu 🙏🙏
Kweli pamoja na kuzeeka, bado Wazee tuna tuvitu vitu Kichwani 🤗
Tena wa kishamba sana...Una ubabe wa kizamani sana mkuu
Sio nimeoa, natatajia kukuongeza kama mke wa pili mana una issue za kike.umeoa?
Aah bro...si utafanya hata mkeo akose viheshima fulani maana ufanyacho wewe hata wengine wataiga na kufanya ndio utaratibu.Shemeji ni Shemeji hata kama ni mdogo heshima lazima iwepo. Yule ni mume wako pia.
Nyie wanawake wa siku hizi hamjui maadili ya ndoa kabisa, mnapaka tu kucha rangi.
Sio kwangu, nikibaini una viashiria vya utovu wa nidhamu nakushughulikia instantly.
Utarudi kwenu no matter what.
akili akili akili akiliMwambie amfulie na boxers
Wawezakuta hizo rangi alikuwa hajawahi ziona kabla dogo hajaanza kuishi pale.
Sasa mabadiliko ya ghafla ndiyo yanamshamgaza!
Inaonekana kama hajui cha kufanya baada ya dalili za uvunjifu wa maadili kuoneshwa dhahiri hapo nyumbani.