Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Wanawake wa kiafrika weng wao hawajui nini maana ya raslimali watu
 
Mtusamehe bure Jamani 😅
Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?
Mke siyo house girl kumpa màjukumu bila kutumia busara.
Huyu dogo hajajua mke ni nini.
 
nimegundua maadili yana difa from one area to another
Kijana usi jitie kukariri eti maadili, zingatia na uwe na maono ya kila uamuzi unao chukua.

Mjomba wangu ali nichukua nyumbani nikiwa na miaka 18, ili nika jifunze kazi na biashara kwa ujumla.

Nili kaa nyumba kubwa (kwake) miezi 1, Baada ya hapo nili hamia nyumba ya nje.
Hii ili saidia kunipa uhuru binafsi, na hata kuheshimu wanao nizunguka.

Kula nili kula na vijana wake,(Kama familia) na si kutengewa na mkewe.
Chakula kina andaliwa ana itwa fulani kwenda kubeba.

Narudia uta gongewa na si mayai
 
Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?
Mke siyo house girl kumpa màjukumu bila kutumia busara.
Huyu dogo hajajua mke ni nini.
Yuko sawa. Chai inaandaliwa mezani watu wote wana kunywa pale na sio kama anavyosema.
 
Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?
Mke siyo house girl kumpa màjukumu bila kutumia busara.
Huyu dogo hajajua mke ni nini.
Chai yenyewe katika kuipambania yeye dogo kibaruani shida iko wap akiandaliwa?
 
rudia comment yangu nimemaliza
 
Kumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenu
Yaani umwambie mkeo amuandalie mtu chakula na isijirudie tena? Siwezi mwambia hata mtoto hiyo kauli. But tunatofautiana upo sawa kwa upande wako
 
Yaani umwambie mkeo amuandalie mtu chakula na isijirudie tena? Siwezi mwambia hata mtoto hiyo kauli. But tunatofautiana upo sawa kwa upande wako
Mimi kitu nisichopenda sitaki kijirudie nikitoa maelekezo wakati ujao. yani nipo straight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…