nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #141
Kwa hesabu za haraka haraka siwezi kukubaliUlitakiwa kujua haya kabla ujamuoa; kaa kaa kwenye ndoa utakuja kuelewa wewe ndo utapata hasara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hesabu za haraka haraka siwezi kukubaliUlitakiwa kujua haya kabla ujamuoa; kaa kaa kwenye ndoa utakuja kuelewa wewe ndo utapata hasara!
atanyooka tu.Bado utaona mengi mno hao ndivyo walivyo
Wanawake wa kiafrika weng wao hawajui nini maana ya raslimali watuDogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Huyo BIBI WA JAMIIFORUMS hana discipline kabisa, yeye ni kugongwa sana ndio anapenda.zinaa imekutawala ndio maana unawaza ujinga wakati wote
Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?Mtusamehe bure Jamani 😅
Mkuu ajabu sana juzi dogo katoka kupambana kaleta hesabu fresh nakuta anakula andazi kashika mkononi et kaambiwa achukue tu kule. nilimaindi sanaWanawake wa kiafrika weng wao hawajui nini maana ya raslimali watu
Kijana usi jitie kukariri eti maadili, zingatia na uwe na maono ya kila uamuzi unao chukua.nimegundua maadili yana difa from one area to another
Yuko sawa. Chai inaandaliwa mezani watu wote wana kunywa pale na sio kama anavyosema.Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?
Mke siyo house girl kumpa màjukumu bila kutumia busara.
Huyu dogo hajajua mke ni nini.
Expert mbona mkali sana,uko wapi kwaniHawezi kuwa na akili za hivi hata huko kaburini aliko.....
Ndoa ni kwa ajili ya watu timamu mkuu. We ni lijiiiinga 😹
Chai yenyewe katika kuipambania yeye dogo kibaruani shida iko wap akiandaliwa?Kuna vitu vingine si vya kuwalaumu wanawake, utaamuruje mkeo awe anamwandalia chai mtoto wa dada yako?
Mke siyo house girl kumpa màjukumu bila kutumia busara.
Huyu dogo hajajua mke ni nini.
Ndo maana nimekwambia huna akili, hii dharau ñdo unafanya hadi kwa mkeo. Hongera kwa kutukana baba yako.basi wewe ni bwe*ge
Wanawake karibia wote wanaudokozi wa hela,akiona una mahela mfukoni anawaza utaenda kuzihongaUoga huo, unaibiwaje sasa na kila kitu kipo kwa jina lako
rudia comment yangu nimemalizaKijana usi jitie kukariri eti maadili, zingatia na uwe na maono ya kila uamuzi unao chukua.
Mjomba wangu ali nichukua nyumbani nikiwa na miaka 18, ili nika jifunze kazi na biashara kwa ujumla.
Nili kaa nyumba kubwa (kwake) miezi 1, Baada ya hapo nili hamia nyumba ya nje.
Hii ili saidia kunipa uhuru binafsi, na hata kuheshimu wanao nizunguka.
Kula nili kula na vijana wake,(Kama familia) na si kutengewa na mkewe.
Chakula kina andaliwa ana itwa fulani kwenda kubeba.
Narudia uta gongewa na si mayai
Mkuu wajinga wanazeekaNdo maana nimekwambia huna akili, hii dharau ñdo unafanya hadi kwa mkeo. Hongera kwa kutukana baba yako.
Analika siku sio nyingiAkimla tulia tuliii
Yaani umwambie mkeo amuandalie mtu chakula na isijirudie tena? Siwezi mwambia hata mtoto hiyo kauli. But tunatofautiana upo sawa kwa upande wakoKumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenu
Siungi mkono hii hoja.Acha mawazo potofu. EnjoyWanawake karibia wote wanaudokozi wa hela,akiona una mahela mfukoni anawaza utaenda kuzihonga
hamna shida. akiwa mzinzi hata nikiwa kazini atahasi tu ko huezi zuia Kulinda maadili kisa Kuwaza uzinziAnalika siku sio nyingi
Mimi kitu nisichopenda sitaki kijirudie nikitoa maelekezo wakati ujao. yani nipo straight.Yaani umwambie mkeo amuandalie mtu chakula na isijirudie tena? Siwezi mwambia hata mtoto hiyo kauli. But tunatofautiana upo sawa kwa upande wako