Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Hehehe hapa naona kuna watu wa aina mbalimbali

Kuna wale wasio na hela ila wana skill, kuna wenye hela hawana skill na kuna wasio, wenye hela na wasio na skill na wenye hela na skill

Wenye hela na skill wako pembeni wanalike tu comment za upande wowote. Wanaelewa kulingana na lengo lako na mwanamke inabidi utumie karata inayofanya kazi kwake huyo mwanamke

Wenye hela bila skill wanasupport hili swala kwa kuwa ndio njia ambayo imewaletea mafanikio kwao. Silaumu jambo hili, you use whatever tools are effective.

Wenye skill bila pesa wanalalamika kwa kuona ni upotevu wa pesa. Hawa nao nawaelewa kwa kuwa wanaegemea katika skill zao pekee. Kwa bahati mbaya kuna milango skill pekee hazitoshi japo nalo si ishu kwa kuwa huwezi kumpata kila mwanamke hata uwe bilionea na player kama Diamond in one.

Wasio na skill na pesa ndio wanaleta matusi na mada za nje ya suala linaloongelewa. Aidha kutokana na experience mbaya kupambana na mtu mwenye hela katika mapenzi au basi tu kwa kutofurahia linaloendelea. (Kuna wengine pia ambao hawapo katika kundi hili ila nao wanaleta haya masimango)

Kitu cha msingi tu ni mtoa mada aendelee kuenjoy maisha ili mradi anajua his life in general imesimama vizuri. Asifall in love tu maana italeta changamoto za kushindwa kubalance mambo ya mchepuko na main family huko mbeleni.
 
Mimi nilitumia hiyo pesa kwa muda wa miaka mitano japokua yangu ilizidi kidogo hapo nikaonekana mzinzi njoo muone huyu alietumia kwa ajili ya kodi tu ili apate papuchi kwa kuibia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii summary ndio inaelezea kidume kwa hali halisi kabisa😂
 
Wanaume wasio na skills wanatumia pesa kupata matokeo kisha wanajiona mabingwa. Ukitumia hela jua penzi linakuwa la kifurushi tu
 
Me rijali kabisa unacheka "hehehe" daaaah...! Ama kweli Wanaume tunazidi kuisha [emoji849][emoji26]
 
Kwahyo ndugu we upo kwenye kundi gan hapo[emoji39]

M naenjoy comment za wajuba tu hapa[emoji2956]

lakn kiukweli kwa mwanamke mwenye akili anaejua kabsa ana date na mme wamtu, alafu agusii swala la kurasimishwa kua nyumba ndogo au ata mtoto, n kwamba we n ktega uchum chake,.

akijitingisha akaona ayumbi[emoji3] lipu umelipuliwa[emoji847][emoji1787]

Kama atakua analijua hilo na amesha frame namna ya kulikabili[emoji39] wala sina hiana[emoji6] tumia pesa ikuzoee..

Ila Kama anaenda enda kwamba my wangu, nakupenda sana bila ww siwez kupumua[emoji3] wewee mi simo[emoji41]

Ok m nipo kwenye hilo kund la wasio na hela wala skill, sasa sijui unanisaidiaje hasa hilo la hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi niko kwenye upande wa kula kwa urefu wa kamba yangu kipesa na skill. Unfortunately kama nilivyosema hapo juu kuna milango utaingia kwa skill na kuna milango utaingia kwa pesa. Na mara nyingine utahitaji both.

Ila hii haimaanishi kuwa unaweza kupata kila msichana. Wengine wanapitia trauma, wengine dont need to be with someone, wengine wameshachukuliwa na kuwekwa patamu na mwingine pamoja na sababu nyingine mbalimbali.
 
Dah, kweli maisha hayako fair! Mim natafuta mtaji million moja pekee! Mwanaume mwenzangu anahonga kodi 4 millions. Wacha niendelee kuwaita shem!
Usijari unaweza kuwa unawaita shem huku unawala tena ww ukawa unapewa zaid ya yule anayeitwa sweetheart
 


Umeandika ukweli na uhalisia kabisa.

Isipokuwa hapo mwishoni Penye kutishia kujinyonga nilitaka kukupa angalizo kuwa sio kila anaetishia kujinyonga anamaanisha hasa kujinyonga , la hasha wengine ni fix tu.

Wengine wanajiliza uongo na kutishia uongo kutaka kujinyonga!

Hilo tu kaka vinginevyo umeandika uhalisia kabisa wa yanayofanyika kwenye jamii.

Wajinga ndio waliwao mwache aliwe.!
 
Ukute Wapwa zake wanahangaika na Ada za Shule na mahitaji mbali mbali wakimuomba hela anasema hana lakini kwa malaya ana spend a lot [emoji108][emoji108]

Akijakukwama hao wapwa ndio atawaganda wamsaidie.

Shangazi au bibi zake wanamahitaji chungu nzima wengine dawa , sukari n.k lakini hawahidumii anakuwa mwepesi wa kutunza mchepuko! [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…