Mbona mama yako haoni hivyo vitu vikipita kwenda kwa mkeo ?Mkuu sikumwambia nikitu kaona kinapita kwaiyo vyake nivingi kuliko Iko kimoja kinachopitia akakiona
Mkeo ni m*eng*Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.
Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.
Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Hapa umeongea kama mzazi bt ungeongea kama mke kauli ingebadilika.Yupo kijana wangu ananipenda sana, naamini siku mke amfanyie ulichofanyiwa kuhusu mama mzazi itakuwa kesi.
Wanawake wengi hawapendi mama mkwe, hiyo ni nguo tu, siku ukimnunulia mama yako gari itakuwaje ?
Anyways, tumewakuza kwa shida sana, msitusahau.
Ana umri gani? Tuanzie hapoNawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Huko ni kujizima dataKama unaina kubinaadam amekosea basi wewe kuwa mpole, jishushe, mpigie magoti na umuombe msamaha na umuahidi kwamba hautarudia tena kumnunulia mama yako nguo.
Hivi hao wake zenu mnawatoaga wapi?? 🤔🤔. Au BarHabar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.
Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.
Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Usikute alisema: "usimnunulie nguo mpe hela akanunue mwenyewe"Mpk sasa cjaona neno alilo sema.
All the best
Una akili sana, why umfanyie roho mbaya mtu amehangaika na mtoto wake toka mdogo, labda bila yeye asingekua hapo alipo Leo hii,,Wanawake wachoyo na wenye roho mbaya mnawatoaga wapi? FUKUZA MBWA HIYO
Nilipanga arudi kwao kwanza akapumzikeUsipoteze muda kumsikiliza! Wanawake ni watu wa ajabu sana! Muulize kama ungekuwa umemnunulia Mama (Mamkwe wako) yangemtoka?
Fanya kama ulivyopanga.Wala usimrudishe kwao.
Atanuna,yatamtoka mwisho atakaa kimya!
Miaka32Ana umri gani? Tuanzie hapo
Anahitaji kuwa disciplined siyo wa kumchekeaM
Miaka32
TaAisee yaani bora ya ww, mm mama yangu anaumwa muda mrefu kwa hiyo ametoka mkoa kuja hapa mjini kwa ajili ya matibabu. Sasa tuna utaratibu familia huwa tunachanga kwa ajili ya matibabu yake, maana hiyo clinic yake anayo attend hawatumii bima kabisa. Cha kushangaza akiniomba hela labda nikamwambia sina au subiri siku kadhaa, anamind na anasema kwa hiyo hela zote ndiyo umemtibia mama yako, maana anajua mama yuko hapa kwangu na mm ndiyo natoa zaidi. Huwa ananiviruga sana yaani hajali hata afya ya mama mkwe wake, yeye anataka kutimiza mahitaji yake tu. Wake zetu ni tatizo kubwa
Hatar sana mkuu hapo ni roho mbaya na ubinafsiAisee yaani bora ya ww, mm mama yangu anaumwa muda mrefu kwa hiyo ametoka mkoa kuja hapa mjini kwa ajili ya matibabu. Sasa tuna utaratibu familia huwa tunachanga kwa ajili ya matibabu yake, maana hiyo clinic yake anayo attend hawatumii bima kabisa. Cha kushangaza akiniomba hela labda nikamwambia sina au subiri siku kadhaa, anamind na anasema kwa hiyo hela zote ndiyo umemtibia mama yako, maana anajua mama yuko hapa kwangu na mm ndiyo natoa zaidi. Huwa ananiviruga sana yaani hajali hata afya ya mama mkwe wake, yeye anataka kutimiza mahitaji yake tu. Wake zetu ni tatizo kubwa