Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Nitumie namba yako ASAP.
vijana mchele mchele mnapenda kukata mauno bila ya kutafakari faidaa na hasaraa za mauno yenu.
 
Ilishawahi kunikuta hii.

Nimeliwekewa mazingira ya kupiga demu fulani na demu sikuwa plan nae.

Kuichapa tu baada wiki tatu akaniambia ana kibendi changu.

Nikapara wenge.sio Kwa siwezi mtunza yeye na mimba yake shida ni aina ya huyo demu alivyo.

Singo Maza watoto wawili!!

Basi akaleta pigo anataka kuitoa hio mimba sikuafiki Hilo swala.ila akakaza kweli akasema hataki kuzaa kabisa.

Akasema anaenda itoa Mimi sikutia neno nikakausha kimya wakati natafakari nifanye uamuzi gani.

Kupitia intellijensia nikaja gundua tuko mtu mbili na Kwa mujibu ya yeye mwenyewe anasema mimba ni ya huyo njema ingine Kwa hesabu zake.😀

Hapo kidogo nilipata ahaueni.nikaendelea na mkausho kama vile sipo.

Maana alishaanza kunifilisi Kwa matunzo wakati sihusiki🤣
 
View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.

Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
New single mother in town
 
Daa mwanangu uliposema mwezi mmoja uliopitaa bac umenikumbushaa nilikuwa shambaa uko nafanya palizi ,kumbe mwenzangu ww ulikuwa unaacha masomo na kwenda kumwagia ndanii😂😂😂 ,,VP huyo manzi naye n student km ww au n hawa wa mtaani tuu .km wamtaani hapo angaliaa vzr utapigwa za kichwa mimba yaweza Kuta n ya boda boda akaamua kukupa ww mwanachuo..
 
Back
Top Bottom