Nimempenda mtoto wa watu huku

Kuna haya matukio matatu yanatuvuruga vichwa sana:-
  • Sikukuu ya kuzaliwa mwokozi
  • Mwaka mpya
  • Kununua sare na kulipa ada kwa uzao tuliouleta
 
Wow! karibu kwenye ulimwengu wa kenzy, hapa vilivyo vigumu hulegea! vichachu huwa vitamu na huzuni huwa vicheko!.

Hatimae malaika kaamua kushuka mwenyewe..😂😍😍
Baada my
Ngoja tumalize kazi
 
Nashindwa kuelewa kwa nini sisi wengine hatuna hizi bahati, kuliliwa hadi kuwekewa bango🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…