Oa mkuu, lakini akiwasiliana na mzazi mwenzie ukubali. Hata akikuambia hawawasiliani ujue kabisa unadaganywa. Kwahio uwe tayari mkeo kuwa anasumbuliwa na mwanaume mwenzio. Kama angekua nimwanamke bora basi mzazi mwenzake angemchukua wewe anakuigizia.
Vinginevyo kama mzazi mwenzie ashatoweka duniani ndio utakua na amani. Lakini pia kama mtoto wake niwakiume utapata shida badae, watoto wakiume huwa wanapenda mama zao wapandwe na wazazi wao tu nasivininginevyo.
Pia uwe wahudhuria vikao vya wanaume ujue nafasi ya single mother niipi.