Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Huyu jamaa haudhuriagi au hajawahi kuhudhuria vikao vya wanaume! Tulishapitisha maamuzi kuwa "single mother" hafai kuolewa! Labda kwa mazingira fulani ambapo huyo aliyemzalisha alishafariki na akuonyeshe kaburi au cheti cha kifo! Kwa mizania ya vigezo vya mke bora, single mother alipata "0". Hudhuria vikao mwamba usiturudishe nyuma katika mada zilizokwishatolewa maamuzi

Acha upuuzi,single mama wanaolewa ila kuanzia mke wapili,au waoane na single baba.
 
Oa Mkuu, wanawake wakiacha wameacha hawaludi nyuma husiwasikilize hawa mburura ukiona mwanamke analudi kulia lia kwa baby dady ni maisha yamempiga

Kama huyo single maza ana uwezo wa kujikimu kimaisha wanakuaga jeuri hao kuludi hata kuongea na baby dady ,Uzuri wa kuoa single maza ni maturity zao wanakua wamepitia mapito mengi kwenye mahusiano ukioa hautasikia kele kele ndani ya nyumba yaani wamekomaa kifikra
 
Oa Mkuu, wanawake wakicha wameacha hawaludi nyuma husiwasikilize hawa mburura ukiona mwanamke analudi kulia lia kwa baby dady ni maisha yamempiga

Kama huyo single maza ana uwezo wa kujikimu kimaisha wanakuaga jeuri hao kuludi hata kuongea na baby dady ,Uzuri wa kuoa single maza ni maturity zao wanakua wamepitia mapito mengi wenye mahusiano ukioa hautasikia kele kele ndani yan nyumba yaani wamekomaa kifikra
Ona huyu bwege anatuita sisi mbulula
 
single mother" hafai kuolewa! Labda kwa mazingira fulani ambapo huyo aliyemzalisha alishafariki na akuonyeshe kaburi au cheti cha kifo!
Tumekubaliana single maza sio wa kufanya nao maisha hata kama atakuonyesha kaburi la baba wa mtoto na cheti cha kifo.

Single maza ni wa kupiga na kusepa, ni kujidharirisha kumuoa mwanamke ambaye alishazalishwa

Oa ambaye hajazalishwa mzalishe watoto wako walee huo ndio uanaume
 
Fuata moyo wako, hapa JF watakuzingua tu wengine watakwambia achana na singo maza wakati wenyewe walioa wenye watoto 4+
Sasa hao walio oa single maza wanakupa real life experience ndio wazuri kuchukua ushauri wao.

Alafu hawa single maza kwa nini mbususu zao zinakuwa tamu sana? Kuna uhusiano gani wa kuzaa na utamu wa mbususu kuongezeka?
 
Huyu jamaa haudhuriagi au hajawahi kuhudhuria vikao vya wanaume! Tulishapitisha maamuzi kuwa "single mother" hafai kuolewa! Labda kwa mazingira fulani ambapo huyo aliyemzalisha alishafariki na akuonyeshe kaburi au cheti cha kifo! Kwa mizania ya vigezo vya mke bora, single mother alipata "0". Hudhuria vikao mwamba usiturudishe nyuma katika mada zilizokwishatolewa maamuzi
Aoneshwe kaburi na msalaba uandikwe jina la huyo marehemu ambae ni mmewe
 
Maisha ni choice yako tu,ila ukumbuke ile connection ya mtoto bado itakuwepo usije ukarusha ngumi mkuu.

NB: Siku hizi ni kawaida tu timu moja inaongoza goli moja au mbili,timu nyingine ndiyo inaingia uwanjani 😀
 
Sasa hao walio oa single maza wanakupa real life experience ndio wazuri kuchukua ushauri wao.

Alafu hawa single maza kwa nini mbususu zao zinakuwa tamu sana? Kuna uhusiano gani wa kuzaa na utamu wa mbususu kuongezeka?
Afadhali umenisaidia kuuliza: kwanini ni watamu zaidi ya hawa ambao hawajazaa.

Mwisho nimpe ushauri kijana kama kamuelewa aoe tu.

Kuna mtu kamshauri hapo juu aoe kama mtoto ni wa kike.
 
Back
Top Bottom