Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Hakikisha anakuonesha kaburi la mwanaume wake wa Kwanza

Huu usemi nimeusikiaga hapa hapa jamvini
 
Lakin mbona Waislam wao wanaoa tu mwanamke mwenye mtoto bila kujali chochote, Wanzanzibar wao Wanao tu hawa Angalii mwanamke kazalishwa au haja zalishwa,Mimi nilishangaa kijana wakiume wa miaka 26 anaoa mwanamke mwenye watoto watatu kweli tembea uone maajabu ya Dunia.
Mkuu kama ni waislamu kweli shinda hupungua kuliko sisi wakristononi. Ukweli mchungu nibkwamba kwenye kila nyanja waislamu wamenyooka sana, sio kwenye suala la uaminifu wa biashara, kazi, dini na hata ndoa.

Kuna mchungaji wa kanisa aliwahi kusema "vijana wa kikristo wameharibika kuliko wa kiislamu" wakuu wake wakamlamba adhabu, ila alisema ukweli.

Sisi wakristo dini yetu imetoka kwa wazungu, wazungu ndio wanaoleta kila rangi ya ufilauni sasa ivi. Wenzetu waislamu dini imetoka kwa waarabu. Waarabu ni sheria moja iliyonyooka. Kama ni nyeusi unaambiwa hii nyeusi ila kwetu kuna siasa hadi kwenye dini.

Waislamu wanasheria kali sana. Ndio maana binti aliyelelewa kiislamu huwa wife material haswa na huitii ndoa yake na mumewe kwa kuwa dini yao ndio inataka hivyo. Sisi sasa ni kivumbi tu. Na vile tumeambiwa ndoa ni moja tu nasi ukimuoa ndio utajua hujui
 
😂😂😂😂Nimecheka mamaangu alipanga gari toka mbagala kwenda makumbusho mvua Ilikuwa inanyesha waliloa utasema wapo nje🤣🤣🤣
We acha tu mpwa. Mpaka nimewaza huyo mwanamke aliyechakazwa kama gari za Mbagala huko ikuluni kwake kutakuwa na hali gani jamani maana gari za Mbagala wallahi siyo poa! 😁
 
Habari za Usiku wana JF,

Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
Huyo kwa kizungu anaitwa maza single...
 
Kwani mtoto wa miaka 6 atakupa shida gani? Katika maisha yako hautalea ndugu na jamaa katika dunia hii? Oa kwani akizaa anabadilika nini? Kuna watu hawana watoto wametumika zaidi ya gari za mbagala.
mtoto hana tatizo kabisa ila jiulize kwann aliemzalia mtoto wa kwanza hajaolewa nae ili ww uje uishi nae usumbufu upo na hisia za nyuma zipo hasa wanapozaa kiepusha shida maishani oa mwanamke asie na mtoto mambo yasiwe mengi.....


ila aoe ili apate jawabu mwenyewe... kwenye mtoto sipingi kabisa kulea ila tabu ni hapo kwa mama mtu
 
We acha tu mpwa. Mpaka nimewaza huyo mwanamke aliyechakazwa kama gari za Mbagala huko ikuluni kwake kutakuwa na hali gani jamani maana gari za Mbagala wallahi siyo poa! 😁

Natumaini mwaka mpya unaendelea vyema mpwa. Ubarikiwe sana!
🤣🤣🤣Hatari
 
Afadhali umenisaidia kuuliza: kwanini ni watamu zaidi ya hawa ambao hawajazaa.

Mwisho nimpe ushauri kijana kama kamuelewa aoe tu.

Kuna mtu kamshauri hapo juu aoe kama mtoto ni wa kike.
Huyo aliyeshauri kuhusu kuoa kama mtoto ni wa kike itakuwa ana lengo la jamaa akile kuku ma mayai yake 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom