Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Kama hana changamoto zingine hasa za kimaadili muoe. Watu wengi tu wameoa single mothers na wakaishi vizuri hadi uzeeni. Kuna wengine wameoa mabinti wabichi na wakaachana.
 
Mie nilimkuta babe wangu anawatoto wa 3 Namimi nimezaa naye watoto 4 ndoa ni uvumilivu na mipango . Ukipangilia maisha yanakwenda kabisa . Naishi maisha ya furaha japo mwenzangu kisa cha kuachwa na wanawake zake ni huyu shemeji yake analala naye nimemkanya nikaona basi ngoja nikae tu niwe na mtu pembeni ndio hali halisi.

Maisha hayana formula kabisa ujui tu. Maisha nikutesekea watu wengine .

Maisha ya naraha sana mweh acha tu ukijua wewe ni wa mtu . Sawa eh oa ulee raha mtoto anababa yake atamuhudia na wewe unaweza participate kiasi fulani ila asikae hapi mie walikaa kwa muda hapi ila ilifikoa muda wakaenda mashuleni na hawaji sana hapo .
 
je yeye anakupenda kama na yeye anakupenda sawa la maana upendo uwepo
 
Jamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
Daah umeongea kwa uchungu
 
Umri wako ni miaka mingapi? Kuoa single mother kwa kijana ni uzembe.

Mnatakiwa wote muwe bila bila, ungekuwa mtoto wangu halafu unanipa habari hizo unakula stick.
Yote kwa yote kama una tabia ya wivu basi usithubutu maana maumivu utakayopata labda Kama mzazi mwenzie kafariki
 
Una bahati uko mbali

Ningekutia Kerub moja la shingo nikurestart hiyo Medula mpuuzi wewe. Kwani mpaka hapo wewe hujioni kuwa wewe ni sub?
 
Back
Top Bottom