Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Huyo aliyeshauri kuhusu kuoa kama mtoto ni wa kike itakuwa ana lengo la jamaa akile kuku ma mayai yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasemaga mtoto wa kike anaondoka hana urithi, ila kama mwanaume unapenda uishi duniani na siyo gerezani epuka kuoa mwanamke mwenye mtoto wa kike.

Nb: mwanaume anaye oa single maza hana akili kabisa
 
Yani masingle faza yanaponda single maza asiolewe 😂😂😂😂
Hapo anayetoa ushauri huo yy mwenyewe kalelewa na mababa tofauti mpk sura ya baba ake mzazi kaisahau..!!!
 
Habari za Usiku wana JF,

Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
Kama anasifa za kuwa mke muoe, lakini mbona kwa hizo sifa alizonazo kaachwa?.
 
The fact kwamba tayari ana mtoto, that means bado yeye na ex wake wataendelea kuwa na muunganiko na ikiwezekana wakati wowote wanaweza wakapasha tena kiporo. Ushauri, oa mwanamke ambaye hajazaa bado. Mechi haiwezi ikaanza 1:0 badala ya 0:0
 
Habari za Usiku wana JF,

Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
Haujampenda kwa dhati huyo wala usingekuja kulizia opinion za watu tusiojua mapenzi yenu.
 
Wanasemaga mtoto wa kike anaondoka hana urithi, ila kama mwanaume unapenda uishi duniani na siyo gerezani epuka kuoa mwanamke mwenye mtoto wa kike.

Nb: mwanaume anaye oa single maza hana akili kabisa
Umemalizia vizuri kabisa. Mwanaume unaoaje single maza wakati warembo wapo wengi tuu
 
Back
Top Bottom