Sumbi Sanchez
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 100
- 355
Aliyezalishwa na mwanaume ambaye bado yuko hai anatakiwa aolewe na huyo aliyemzalisha. Kama yeye aliyemzalisha hataki kumuoa wewe unakuwaje tayari? Halafu umuoe aendelee kuwasiliana na baba wa mtoto wake kwa kisingizio cha mtoto? Hii haikai sawa. Kuna namna inashusha mamlaka na utawala wa mume.
Mimi binafsi siwezi kuoa mwanamke/msichana aliyezalishwa labda iwapo huyo aliyemzalisha alifariki. Wadada nawashauri fanya kila uwezalo usizae kabla ya ndoa iwapo una ndoto au mpango wa kuja kuolewa.
Mimi binafsi siwezi kuoa mwanamke/msichana aliyezalishwa labda iwapo huyo aliyemzalisha alifariki. Wadada nawashauri fanya kila uwezalo usizae kabla ya ndoa iwapo una ndoto au mpango wa kuja kuolewa.