Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Aliyezalishwa na mwanaume ambaye bado yuko hai anatakiwa aolewe na huyo aliyemzalisha. Kama yeye aliyemzalisha hataki kumuoa wewe unakuwaje tayari? Halafu umuoe aendelee kuwasiliana na baba wa mtoto wake kwa kisingizio cha mtoto? Hii haikai sawa. Kuna namna inashusha mamlaka na utawala wa mume.

Mimi binafsi siwezi kuoa mwanamke/msichana aliyezalishwa labda iwapo huyo aliyemzalisha alifariki. Wadada nawashauri fanya kila uwezalo usizae kabla ya ndoa iwapo una ndoto au mpango wa kuja kuolewa.
 
Ukitaka kujua kama single maza bado ana hisia na baby dad wake we mpe sharti Moja tu kuwa ukimuoa ubini wa mtoto u abadilika kuwa wako; reaction yake itakupa majibu.

Kuna pisi Moja niliwahi kuielewa ndio hivyo ikawa 2:0 nilivyomuambia suala la ubini wa watoto wake kubadirika alikuwa mkali kishenzi na hiyo ndio siku mahusiano yalikoma[emoji23][emoji23]
 
Hofu yao kubwa anaamini kama mzazi mwenzie alimuacha na vipi wewe ukija ukamuacha nahuku kashabadili majina ya watoto wake?. Huwa wanawaza Hilo, ila kuoa single mother nimtihani mkubwa aisee.
 
Ishu inakuja pale umeshamuelewa ndio tatizo. Ukiona singo Maza anasifia sana watoto wake Kwa vimaneno maneno wewe jua hapo umeumia.
 
Ukitaka kujua kama single maza bado ana hisia na baby dad wake we mpe sharti Moja tu kuwa ukimuoa ubini wa mtoto u abadilika kuwa wako; reaction yake itakupa majibu.

Kuna pisi Moja niliwahi kuielewa ndio hivyo ikawa 2:0 nilivyomuambia suala la ubini wa watoto wake kubadirika alikuwa mkali kishenzi na hiyo ndio siku mahusiano yalikoma[emoji23][emoji23]
Sasa ubadilishe ubin kwani wanao??? 😀 😀 😀
 
Siyo kila king'aacho ni dhahabu mkuu.
Ni kweli moyo wako umemridhia. Ila sasa,hivyo vikwazo unavyoviona leo,si kwamba havipo,na pengine hujaeleza kwa mapana. Mara mia uumizwe na familia yako kuliko ya wengine. Huyo mtoto,ukikosana na mama yake,yeye ndo atapata tabu.

Jirani yangu kuna jama,kamuoa single mama akiwa na watoto wawili. Yeye,akikuwa na mmoja. Nae kamleta. Wamezaa wa kwao sasa. Mwanamke anataka watoto wake wakasome shule nzuri(huku ni mama wa nyumbani), na mshikaji anadai hawezi somesha watoto wa wanaume wengine(kila mmoja atakuwa na baba yake)shule nzuri atapeleka aliowazaa yeye.

Mama kajichora mitatoo balaa! Hakika alikuwa anauza mechi.

Mshikaji,sawa kodi halipi,nyumba ya urithi. Ila akiongea,utadhani moyo anatembea nao mkononi,kifuani umetoka.
Muqche alomzalisha aishi nae,au kumuacha aliona hafai,na wewe usishangae unaigiziwa tu leo.
 
Hofu yao kubwa anaamini kama mzazi mwenzie alimuacha na vipi wewe ukija ukamuacha nahuku kashabadili majina ya watoto wake?. Huwa wanawaza Hilo, ila kuoa single mother nimtihani mkubwa aisee.
Dah!!! Hivi,kati ya single mother, na yule ambaye hana mtoto,lakini kajichubua, mikucha na kope anabandika, yupi bora🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama ana mtoto wa kike wewe Oa tu hawanaga matatizo. Mtoto wa kike ubini hubadilika baadae akiolewa kuwa wa mume wake. Kama mtoto wa kiume ogopa vinakujaga kuvimba hivyo baadae. Watoto wa kiume huwa hawapendi Baba wa kambo. Baadae itakuwa ngumu kuku heshimu[emoji848]
Kama ni wa kike inabidi ampende hadi mama ake aridhike la sivyo hakawii kusingiziwa nambaka mtoto wake
 
Kama ana mtoto wa kike wewe Oa tu hawanaga matatizo. Mtoto wa kike ubini hubadilika baadae akiolewa kuwa wa mume wake. Kama mtoto wa kiume ogopa vinakujaga kuvimba hivyo baadae. Watoto wa kiume huwa hawapendi Baba wa kambo. Baadae itakuwa ngumu kuku heshimu[emoji848]
Mkuu ukimzalisha watoto Watano mama yake lazima atakueshimu tu
 
Jamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
Najua mtoa mada anatamani kupata ushauri kama huu ili apate moyo amuoe. Ila hapa watu hutoa uhalisia wa mambo na sio senerio za imagination kama hizi. Tunawajua single mother wengi sana kitaa na tabia zao. Hivyo sisi tunampa senerio za uhalisia maamuzi ni yake
 
Jamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
Lakin mbona Waislam wao wanaoa tu mwanamke mwenye mtoto bila kujali chochote, Wanzanzibar wao Wanao tu hawa Angalii mwanamke kazalishwa au haja zalishwa,Mimi nilishangaa kijana wakiume wa miaka 26 anaoa mwanamke mwenye watoto watatu kweli tembea uone maajabu ya Dunia.
 
Back
Top Bottom