Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Tatizo watupa mawe wenyewe nao wamelelewa na mababa sio wao 😂😂😂Humu ndani mawe yanatupwa mazito sana, bila kuvaa helmet linaweza kukudondokea kichwani direct.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo watupa mawe wenyewe nao wamelelewa na mababa sio wao 😂😂😂Humu ndani mawe yanatupwa mazito sana, bila kuvaa helmet linaweza kukudondokea kichwani direct.
Utakuwa huna uzazi ww mtoto akikua ataliwa anakuona ms3ngeeMkuu Mimi ni mkurya ni desturi yetu tukioa singo Maza tunamuliki na vitoto vyote.
Nouma sana, nyani anacheka k*nd*le la nyani mwenzie, 😬😬Tatizo watupa mawe wenyewe nao wamelelewa na mababa sio wao 😂😂😂
Umeandika Nini hichi. Watu tunafuata Mila na desturiUtakuwa huna uzazi ww mtoto akikua ataliwa anakuona ms3ngee
Hakuna mila ya kuchukua shahawa za mwingine mm watoto wangu hakuna wa kuwabadili jina dunianiUmeandika Nini hichi. Watu tunafuata Mila na desturi
Bila shaka wewe ni Single Mama.Bwege mumeo
Kama umewatelekeza unakuwa huna uamuziHakuna mila ya kuchukua shahawa za mwingine mm watoto wangu hakuna wa kuwabadili jina duniani
Weka pichaHuwa napanda gari za Mbagala. Siyo poa yaani! [emoji16][emoji16][emoji16]
Daah umeongea kwa uchunguJamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
Mimi ni Single Father , unatafuta wa kukustili ⛪️Bila shaka wewe ni Single Mama.