Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Oa mazee nawe utafute opportunity ya kuzaa nje ila uwe na uwezo kiuchumi
 
Usioe mwanamke mwenye mtoto. Huo ndiyo ushauri wangu kwako. Sina maneno mengi zaidi ya hayo ukitaka stress wa vulia nguo maji uone mziki wake.
 
Piga chini wanawake wamejaa unaenda kuanza 1-0 na kukiingiza kwenye migogoro
 
We oa tu, ndiyo uzuri wa kuoa single maza, kule kijijini, umepata man-power kabisa, Miaka 6, huyo analima na kupalili, na mahari yake iwe juu...
 
Habari za Usiku wana JF,

Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
Kuna jamaa alishakuwa kama wewe..mwishoni akajikuta ghafla kishatiwa kilainishi kwenye kiini cha makalio
 
Kuna jamaa alishakuwa kama wewe..mwishoni akajikuta ghafla kishatiwa kilainishi kwenye kiini cha makalio
Kwani kuoa single maza ni ushoga???[emoji16][emoji16][emoji16] Ila hii nchi kila mtu kachanganyikiwaaaa
 
Kama alivyoanza kumtongoza mama yake....sii unajua tena mabinti na tamaa za kijinga mara umempelkea iphone mara hela ya outing na marafiki zake mwishoe unamfungukia
Unahitajika kuwa na moyo wa chuma. Ni ngumu sana Kwa Binti wa miaka 18 hasa Hawa wanosoma zile shule za mabasi ya njiani Toka wakiwa wadogo
 
Yah ni kweli Wanamake wakizanzibar wakiolewa wakiwa wana watoto uaacha kwa Bibi Zao na hukuti wakiwasumbua waume zao kuhusu matunzo ya mtoto, Ni bora kuoa single mother wa kiislam kuliko single mother wa kikristo, Wanawake waki kristo wanazaa na mwanaume mwingine halafu wana lazimisha mtoto wake atunzwe na mwanaume mwingine.
 
Yani masingle faza yanaponda single maza asiolewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo anayetoa ushauri huo yy mwenyewe kalelewa na mababa tofauti mpk sura ya baba ake mzazi kaisahau..!!!
Ni ajabu sana.
 
Yani masingle faza yanaponda single maza asiolewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo anayetoa ushauri huo yy mwenyewe kalelewa na mababa tofauti mpk sura ya baba ake mzazi kaisahau..!!!
Humu ndani mawe yanatupwa mazito sana, bila kuvaa helmet linaweza kukudondokea kichwani direct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…