Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

Naona wanaume wenzangu mmeingia kwenye uzi. Safi sana
 

Ndoa yako Haina mda, he he he! Hujui wanawake wewe!
 
Maisha ya Bongo bwana. Ni maisha ya kitapeli tapeli na kuomba omba tu. Hakuna kitu ambacho sipendi kama huu mtindo wa kuomba simu ya mtu. Hata mke wangu sioni ni haki kuomba omba simu bila mpangilio. Haya yote huletwa na watu wanaoishi bila mpangilio wa matumizi.
 
Ndio mbinu yao ya kutongoza mademu humu wanajifanya gentlemen
 
πŸ˜€πŸ˜€@OKW BOBAN SUNZU... imenibidi tu nicheke mana umenikimbusha mengi...

N way wala hujakosea, watakusema tu hapa lkn umewakilisha tabia za wanaume wengi wa ki Tanzania..
 
Sawa umesikika lakini kwanini uibe? Mke ni mtu muhimu katika familia akipoteza uaminifu wake utakua umepoteza dira
Wewe umeona mwanaume kupoteza uaminifu kwa mke wake tu ila uaminifu wa mke alioupoteza kwa mmewe ujaona. Hivi unajua mwanaume kama huyo katumia njia ya utulivu sana bila kujibizana, mwingine angeweza hata kuvunja ndoa kwakufikiri anamsaliti. Hujakutana na watu wanao overthink ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe mlee mwanamke kama mtoto halafu uone kitakacho kupata, ndoa ni kuheshimiana na kusaidiana sio ubinafsi sababu we ni jinsia fulani. Hujajua kwanini wanaume hupata sana magonjwa ya moyo na kisukari boss! Usitake kujua.
 
Who so will ever touch a woman or abuse a woman no matter what is a beast and not human, forget whether some behave unholy,but the truth is that women are angels
You do know human beings are superior to angels. Acha kauli za victimization, use common sense.
 
Na bahati njema mke ameitunza kwaajili ya maendeleo.

Ndio maana amekubali kutoa kununua kiwanja.

Stupid of the man akadhani ameficha kwa ubinafsi.
Kwaujumla kiwanja sio cha familia bali ni cha mwanamke. Anawekeza assets zake. Unawekeza kwaajili ya maendeleo huku afya yako mkononi, hiyo siyo akili. Tujifunze logic
 
dah, jmn hawa wanaopata hizi connection wanafanyaje?

huyo jamaa atakuwa anakata kiuno kwelkweli
 
Sure.
Binafsi nikijengewa nyumba ya kuishi na Hela ya Mwanamke nahisi mizimu ya Babu zangu kama inaweza kuamka kwa hasira mkuu
yani kuna vijitu vingine sijui vinajionaje yani.

kwahyo mwanamke akijenga nyumba na mwnaamke huyo ni mkeo kuna shda gani?

kajenga nyumba, na ww pembeni umejenga nyumba ukaweka wapangaji, maisha yanasonga kikinuka kila mtu anasepa kivyake.

ila jf banaaa,
 
Mambo mengine huwa mnayafanya yawe magumu tu...mtu anataka elfu tano yake wewe unamnunulia zawadi ya elfu kumi ilo iweje...kwani hiyo hela badala ya kununua zawadi ukimpa kama yeye anavyotaka utapungukiwa nini?
 
It's true and beyond dought kuwa kila uachapo fedha za matumizi lzm kidogo ivutwe kando - sbb ni unknown
 
dah, jmn hawa wanaopata hizi connection wanafanyaje?

huyo jamaa atakuwa anakata kiuno kwelkweli
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkongo unamsaidia maana jamaa mtu wa gambe sana
 
Jamaa anahisi tuko zama za mawe bado, sikuhizi mke anatakiwa nae awe ana contribute kwenye mahusiano na maendeleo yetu kwa ujumla.
 
Hahahaha hio ndio inatakiwa aisee it makes no sense mtoto wa kwetu ila unajifanya uhusiki ni ujinga na uzwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…