Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

Kuna binamu yangu mkewe sijui pesa zake anapeleka wapi, imagine mtoto anataka hadi kurudishwa shule mume mambo yamekaa vibaya. Yeye katulia tu na hela zake. Siku moja mume kamtolea uvivu ndio akatoa hiyo hela ya ada. Yaani utadhani mtoto si wa kwake loh
Naona wanaume wenzangu mmeingia kwenye uzi. Safi sana
 
Hamna siku ntakuja kutamani pesa ya mke wangu, mimi ni mwanaume sitakuja kutumia utapeli na wizi kuumiza mke wangu eti nionekane mimi nina akili, maisha ya wizi wizi na kutoaminiana siapendi bora nikae kama nilivo kuliko kuiba kwa ujanjajanja......."good relation in marriage is every thing en is beyond money"

Ndoa yako Haina mda, he he he! Hujui wanawake wewe!
 
Haaa haaa umenikumbusha jamaa yangu aliachana na mchepuko kijinga sana. Ameutumia nauli, akaulisha bata la kufa mtu na shoping. Asubuhi yake jamaa anahitaji internet akaomba hotspot ukajikausha, akaomba tena ukachomoa bando halitoshi. Kuna kuvizia simu akakuta kuna zaidi ya GB. Akautimua
Maisha ya Bongo bwana. Ni maisha ya kitapeli tapeli na kuomba omba tu. Hakuna kitu ambacho sipendi kama huu mtindo wa kuomba simu ya mtu. Hata mke wangu sioni ni haki kuomba omba simu bila mpangilio. Haya yote huletwa na watu wanaoishi bila mpangilio wa matumizi.
 
Kuna reply za wanaume wenzangu wanajiona ma gentlemen sana kwa kumtetea huyo mwanamke na kumtukana mwanaume mwenzetu..

Hivi Jambazi kama huyo unamuachaje salama?

nikuuguze wee mpaka kukopa Juu yangu kumbe una hela umetulia nazo tu? non sense

mzee malizia na hizo 2m ili atafute nyingine anavyojua
Ndio mbinu yao ya kutongoza mademu humu wanajifanya gentlemen
 
😀😀@OKW BOBAN SUNZU... imenibidi tu nicheke mana umenikimbusha mengi...

N way wala hujakosea, watakusema tu hapa lkn umewakilisha tabia za wanaume wengi wa ki Tanzania..
 
Sawa umesikika lakini kwanini uibe? Mke ni mtu muhimu katika familia akipoteza uaminifu wake utakua umepoteza dira
Wewe umeona mwanaume kupoteza uaminifu kwa mke wake tu ila uaminifu wa mke alioupoteza kwa mmewe ujaona. Hivi unajua mwanaume kama huyo katumia njia ya utulivu sana bila kujibizana, mwingine angeweza hata kuvunja ndoa kwakufikiri anamsaliti. Hujakutana na watu wanao overthink ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe mlee mwanamke kama mtoto halafu uone kitakacho kupata, ndoa ni kuheshimiana na kusaidiana sio ubinafsi sababu we ni jinsia fulani. Hujajua kwanini wanaume hupata sana magonjwa ya moyo na kisukari boss! Usitake kujua.
 
Who so will ever touch a woman or abuse a woman no matter what is a beast and not human, forget whether some behave unholy,but the truth is that women are angels
You do know human beings are superior to angels. Acha kauli za victimization, use common sense.
 
Na bahati njema mke ameitunza kwaajili ya maendeleo.

Ndio maana amekubali kutoa kununua kiwanja.

Stupid of the man akadhani ameficha kwa ubinafsi.
Kwaujumla kiwanja sio cha familia bali ni cha mwanamke. Anawekeza assets zake. Unawekeza kwaajili ya maendeleo huku afya yako mkononi, hiyo siyo akili. Tujifunze logic
 
Utetezi wa kijinga kabisa, kuna mwana namjua ana mke na watoto mkoa. Ila yuko bongo anagonga jimama flani ndio linamuweka mjini kistaa kabisa hizi 2-3M hazimpi shida kabisa.

Sio kwamba ni Marioo, jamaa ni lecturer chuo flani ila kama mnavyojua mshahara wa Lecturer hauwezi endesha maisha ya dar na mke mkoani.

Mke mkoa amenunuliwa Raum, jamaa ana premio mayai ila hela nyingi inatoka kwa jimama. Linalipa na kodi maeneo flani katikati ya mji kabisa limemuwekea na Harrier tako la nyani uwani.

Sasa kwa scenario hii utasema justification ya kuwa eti hujui hela ya mke imetoka wapi ina maana hela ya mwanaume kama huyu nae mke asiitumie sababu hajui imetokea wapi?
dah, jmn hawa wanaopata hizi connection wanafanyaje?

huyo jamaa atakuwa anakata kiuno kwelkweli
 
Sure.
Binafsi nikijengewa nyumba ya kuishi na Hela ya Mwanamke nahisi mizimu ya Babu zangu kama inaweza kuamka kwa hasira mkuu
yani kuna vijitu vingine sijui vinajionaje yani.

kwahyo mwanamke akijenga nyumba na mwnaamke huyo ni mkeo kuna shda gani?

kajenga nyumba, na ww pembeni umejenga nyumba ukaweka wapangaji, maisha yanasonga kikinuka kila mtu anasepa kivyake.

ila jf banaaa,
 
Ni ujinga serious,, kuna shetani mmoja na yeye tuligombana kisa kaki tu...nimetumia pesa nyingi sana kwake siku ana elf tano niliichukua nikamwambia nampa ila nikawa akinikumbusha namwambia nitampa at the same time narudi na kitu as gift yake tu cha zaidi ya hio hela .. vocha yake ni mm naweka bado anathubutu nipa kauli za ajabu kisa elf tano niliitupilia mbali
Mambo mengine huwa mnayafanya yawe magumu tu...mtu anataka elfu tano yake wewe unamnunulia zawadi ya elfu kumi ilo iweje...kwani hiyo hela badala ya kununua zawadi ukimpa kama yeye anavyotaka utapungukiwa nini?
 
dah, jmn hawa wanaopata hizi connection wanafanyaje?

huyo jamaa atakuwa anakata kiuno kwelkweli
😂😂😂😂😂😂😂 mkongo unamsaidia maana jamaa mtu wa gambe sana
 
Wewe umeona mwanaume kupoteza uaminifu kwa mke wake tu ila uaminifu wa mke alioupoteza kwa mmewe ujaona. Hivi unajua mwanaume kama huyo katumia njia ya utulivu sana bila kujibizana, mwingine angeweza hata kuvunja ndoa kwakufikiri anamsaliti. Hujakutana na watu wanao overthink ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe mlee mwanamke kama mtoto halafu uone kitakacho kupata, ndoa ni kuheshimiana na kusaidiana sio ubinafsi sababu we ni jinsia fulani. Hujajua kwanini wanaume hupata sana magonjwa ya moyo na kisukari boss! Usitake kujua.
Jamaa anahisi tuko zama za mawe bado, sikuhizi mke anatakiwa nae awe ana contribute kwenye mahusiano na maendeleo yetu kwa ujumla.
 
Kuna binamu yangu mkewe sijui pesa zake anapeleka wapi, imagine mtoto anataka hadi kurudishwa shule mume mambo yamekaa vibaya. Yeye katulia tu na hela zake. Siku moja mume kamtolea uvivu ndio akatoa hiyo hela ya ada. Yaani utadhani mtoto si wa kwake loh
Hahahaha hio ndio inatakiwa aisee it makes no sense mtoto wa kwetu ila unajifanya uhusiki ni ujinga na uzwazwa
 
Back
Top Bottom