Kwanini uchukue 5k ya mwanamke na hutaki kuirudisha, nitampa je zawadi wakati bado anakudai pesa yake 5k,....Wanaumme jifuzeni jinsi ya kuishi na wanawake ni kama watoto katika masuala ya pesa na hisia emotions, kwanini umuahidi kumlejeshea pesa yake af unabadilisha gia angani.Ni ujinga serious,, kuna shetani mmoja na yeye tuligombana kisa kaki tu...nimetumia pesa nyingi sana kwake siku ana elf tano niliichukua nikamwambia nampa ila nikawa akinikumbusha namwambia nitampa at the same time narudi na kitu as gift yake tu cha zaidi ya hio hela .. vocha yake ni mm naweka bado anathubutu nipa kauli za ajabu kisa elf tano niliitupilia mbali