Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

Kwanini uchukue 5k ya mwanamke na hutaki kuirudisha, nitampa je zawadi wakati bado anakudai pesa yake 5k,....Wanaumme jifuzeni jinsi ya kuishi na wanawake ni kama watoto katika masuala ya pesa na hisia emotions, kwanini umuahidi kumlejeshea pesa yake af unabadilisha gia angani.
 
Mkeo ana roho ngumu. Yaani matibabu yake mwenyewe anashindwa kugharamikia na ana 7m inakaa tu benki miezi? Si mchezo.
Ishi nae kimachale sana mkuu huyo,inawezekana ameshakupiga sana matukio zaidi ya hayo hukushtukia tu.
Mkuu umepotea sana, tangu ile chalenji ya kurudisha shukrani hujaonekana tena
 
Na kibaya zaidi hata haujui hiyo mil 7 aliipataje...
Kwani ela za mwanaume za kumtibia anajua mwanaume amezitolea wap? Kazi ya pesa ni matumizi wala sio swala la kujua ni ya nani au imetokea wap?

Kwamba unataka kutetea alito-mbwa nje ndo akapewa hiyo m7? Kama ni hivyo huyo ni mke au malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeoa?? Tuanzie hapa
 
Kuna baadhi ya wanaume akigundua una pesa kidogo hajishughulishi na kitu chochote humo ndani. Ndiyo maana huwa tunapiga kimya unakuwa unasaidia pale inapobidi
 
Unamuibia mke wako!!???
You are such a looser! a serious looser I say
 
Akikwambia mahali alipozipata hizo pesa utafurahi?
Halafu mwanaume kudhulumu pesa ya mkeo sio uungwana wala ujanja, sio jambo la kujivunia.
Dah, very disappointing sana. Mwanaume anaiba Hela ndani ya familia halafu anajiona mjanja kwa ku-justify na other issues, ni changamoto sana. Hana tofauti na mwanaume aliyenunuliwa kiwanja na mchepuko wa mkewe alafu anafurahia utadhani jambo jema sana.
 
Ni ujinga mkuu baba familia unakua jizi af anafanya justification zisio kua na mantiki, sijui tunaelekea wapi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…