Nimempiga mtoto wa mdogo wangu, ndugu wananilaumu lakini Mama ananiunga mkono

Amemlea vibaya sana. Na ndio vitoto vinakujaga kuwa vishoga tangu mapema hivyo. Huyo hata hivyo ulimvumilia sana. Mimi sipendi kabisa watoto wa hivyo
 
Hii ya kulilia nyama ni tabia za kishenzi. Mimi kuna jirani yangu, wanae wawili huwa hawali pasipo nyama. Mtoto akikuta mboga nyingine anamwambia kabisa mama yake yeye hali anahitaji nyama. Mtoto ana miaka 8, anayemfuatia 5.

Watoto wakisema hivi wanaenda kununuliwa kuku au samaki. Nikajaribu kutafakar haya mazingira nikashindwa kuyaelewa kabisa.
 
Nimecheka sana yaan umenikumbusha niliwahi kualikwa sikukuu kwenye familia flani hivi ya kishua yaani kuna kitoto cha miaka mitatu pale kinasumbua balaa halafu wenyewe wanakilea kama yai[emoji1787]
Yaani wageni wote tuliokaa kwenye sofa bale sebureni tulipakazwa michuzi katoto hakatulii mara kanakufuata kanalazimisha katoe simu yako mfukoni mpaka kanalia kwa sauti ukikapa simu kanaitupa chini kanakupanda kwenye miguu kanaanza kuvuta tai yako shingoni kakitoka hapo kanaenda jikoni kanarudi kameshika nyama kanakuja kanakushika na ile michuzi yaani sebure nzima ilikuwa ni kero yule mtoto mpaka alipokuja kusinzia jioni ya saa kumi na moja ndo tukapumua ila tulikuwa hoi mie sikuenjoy kabisa niliaga mapema nikasepa kabla hakajaamka
 
Ahahahahahahaha..Et anamilik K mbili..mkuu acha kuwa tweza wanawaken[emoji23][emoji23][emoji23] ..umewa degrade mpaka mwisho yani..Yan mwanamke kwako ni K tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
No no plz.
Halikuwa lengo langu kuwatweza hawa mama na dada zetu. Nimeongea kama vile tuko masela peke yetu.
Hawa viumbe mimi ni miongoni mwa wanaume mwenye heshima kwao.
Hapa nimeteleza tu mkuu
 
Kumbe kukaa na akina uncle ni mtihani sana niliwahi kukaa na mtoto wa dada yangu alifeli form four huko kijijini nikamwambia aje mjini aludie shule baada kufika mtoto hana nidhamu kumbe kule kijijni yeye ndoo alikuwa mtawala sister aongei kitu tukaanza vita urusi na ukrain nilianza kumbutua mpaka akili ilikaa sawa .nikamwambia kama nakuonea nenda kwenu kaishi kwa amani ila alishika adabu mpaka. Sasa yupo chuo kwa nguvu zangu.kwa hiyo malezi dada yetu ni hovyo sana kwa watoto wao japo nae shemeji hakuwa na sauti kwa mtoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka 10 iliopita nimekuja dar kuanza chuo nikafikia kwa aunt yangu anawatto wawil miaka 3 na 7 aseeh walikuwa vipegesi balaaa nilipewa chumba cha uani wao wanakaa nyumba kubwa

Mwanzon nilichukulia hali ya kawaida ila kadri siku zinavyo enda nikaona wanazidi kunipanda kichwan baba yao hashind nyumban anarudi usiku saa 5 huko kila siku mama yao hivyo hivyo isipokuwa jpili anashinda home tena anajifungia chumban huko

Watto muda mwing wanashinda na dada wa kaz wanamsumbua na kumpelekesha hatari akiwapiga mama akiambiwa anakuwa mkali balaa kuna siku nipo zangu chumban nasikia yule mtto mkubwa anamuambia dada TOKA HAPA KWETU MASKINI WEWE natoka namuona anachukua viatu anamrushia nilichukua mkanda wa suruali nilimshika nilimchapa sana akatishia kusema kwa mama yake uzur mama yake anajua mm nilivyo kwel mama yake karudi ule usiku akanisemea nikatoka taratibu kuchukua mkanda nikamshika mbele ya aunt nikatandika tena nilijitahid ile semister ya kwanza wale watto wakanyooka nilibatizwa jina na kuitwa kaka mikanda mpaka sasa wanajielewa wamekuwa watu wakubwa sasa wananipenda sana na mm nawapenda pia
 
Nikuwanyosha tu hamna namna
 
Amemlea vibaya sana. Na ndio vitoto vinakujaga kuwa vishoga tangu mapema hivyo. Huyo hata hivyo ulimvumilia sana. Mimi sipendi kabisa watoto wa hivyo

Usimnenee mtoto wa mtu hivyo.
 
Tatizo ni hilo la wadada wasomi kuzaa ndo haya kutuletea kina junior
Sasa mtoto anaitwa imran kweli?
 
Safi Sana kama unao watoto watakuwa wamenyooka Sana.
 

Kwa akili yako na umri wako Mama yako ndo mtu wa kumsikikiza kwa kiwango hiki? Na Mama anashanibikia Mwanamke kupigwa?
 
Ulikosea sana ilitakiwa Dada yako naye ale fimbo
 
Hakika wewe ni baba wa kambo bora

Angekuwa mwingine angemswaga

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…