Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
HakikaKwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.