Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

Kwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.
Hakika
 
Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.

Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.

Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Ungeweka link basi
 
Hongera sana Yeriko Nyerere, tulianza kwa kuomba kura tumepata na sasa ni muda wa kusherekea mafanikio ya uungwaji mkono
 
Yaani hadi leo,hakuna aliyeleta utaratibu namna ya kumpigia,wengi tulikua tuna nia ya dhati ya kumpigia kura,ila access Sasa.... duuuh!
 
Back
Top Bottom