Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Niletee nyumbani kwangu nikupe nilizonazo ni laini
 
Sasa izo ungeziweka magadi na mdalasini na limao...zingeiva chaap
 
Vipi upo hai au umeshauwawa na aliyekuwa anatarajiwa kula njegere ngumu kama.kichwa cha yule mropokaji we dar
 
Siku ingine ukiona haziivi chukua baking powder kidogo Sana(ya kufinya na vidole viwili weka).Au unakatia kiazi mviringo hata kimoja kinaleta rojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…