Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
- Thread starter
-
- #121
Mmh huyu sio wangu ninae mjua mimi. Nitawaletea feedback ya reaction yake maana bado nipo mafichoniLa mama usiwaze ni kweli njegere ulizo pika ni ngumu lakn nakula tu hivyo hivyo.
😅😅😅Mh! hata kama umenichoka ndo nzi dah! ushaniharibia na siku kabisa!
Toka uko chumbani njoo dinning room hapaMmh huyu sio wangu ninae mjua mimi. Nitawetea feedback ya reaction yake maana bado nipo mafichoni
Naogopa njoo weweToka uko chumbani njoo dinning room hapa
sitokufokea walaNaogopa njoo wewe
Njoo basi tulale kidogositokufokea wala
🤝🤝Hapana😃.
Mimi ni wa kaskazini kwa kabila lakini nimezaliwa na kukulia kati ya mkoa mmoja ulioutaja hapo
Jiandae nimalizie kula kwanzNjoo basi tulale kidogo
Basi mie siku zote najua njegere origin yake kuwa laini tu. Tena huwa na tahadhari nazo zisiwive sn. Mana zikiwiva sana pia zinakuwa hazina utamu sn.una bahati. Siku utakutana na kitu kama ngumu kama maharage
Kwani hapendi kavu?Maana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juzi
Mama yangu huwa hachemshi njegere. Anaziweka kwenye freezer, hivyo hivyo zimeganda anaziunga na zinaiva vizuri kwa muda mfupi.Basi mie siku zote najua njegere origin yake kuwa laini tu. Tena huwa na tahadhari nazo zisiwive sn. Mana zikiwiva sana pia zinakuwa hazina utamu sn.
Km naweka kwenye wali huwa naziweka mwishoni kabla kuweka wali kwenye oven tena bila kuzichemsha
Kama zimemenywa juzi haliwezekana kua ngumu, kwani njegere na maharage mboga gani ngumu?Maana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juzi
Huwa sikutani nazoKwani hapendi kavu?
Maana kavu maji ni maramoja kuyazidi sifa hata maharage ya Mbeya!
Maharage magumu zaidiKama zimemenywa juzi haliwezekana kua ngumu, kwani njegere na maharage mboga gani ngumu?
Tumia kupikia pressure cooker ndiyo kiboko ya mboga ngumu kuiva.Hii mbinu mpya sikufahamu. Thanks.
Acha zako basi😃.Bila picha ni story ya kutunga
Sawa sawaTumia kupikia pressure cooker ndiyo kiboko ya mboga ngumu kuiva.
Mkuu zimejaa sokoni kwenye mameza ya nafaka mbona?Huwa sikutani nazo