Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Kaka usidhihaki imani ya mtu,
tutajiweka level moja nao! WOTE wanaokashifu dini ya kiislamu your time is coming! Bloodclot keyboard warriors, hasidi hawezagi kuficha husda yake milele itamponyoka tu na hapa tunayajua manguruwee yote.
Wewe ni muislamu kuliko Wasaudia?
 
Kasema lini na wapi? Alafu mimi baba yangu ni muislamu
Hujui kitu ndoa za jinsia moja zinaanza kubarikiwa kanisani ,uliza wenzio hata humu uzi upo.

shekhe ponda kasema kweny Qur an na pia hizo ndoa kwa waislamu ni chache sana kwa zama hizi ila kuna hekima kubwa na faida kwani kunatokea emergency ...Kama unataka faida zipo kwa mwanaume Mfano watoto wa shule za msingi wanapigwa mimba na mume kufungwa kwa vile kazaa na mtoto ..Je kili kichanga kinazaliwa wakati babaake yupo jela je familia inaendaje baba yupo jela ? Na vip kuhusu haki ya malezi ya kichaga kwa babaake ?

Huoni kwamba baada ya beleghe lolote laweza kutokea ni kwamba jamii zetu nyingi hata kama sio za kiislamu mtoto akishapewa mimba wanakimbilia kumuozesha maana tayar kashapata mtoto ili mtoto alelewe na wazazi pia kutoa aibu.

ushawahi kuzunguka kuangalia hata takwimu za watoto wa kike chini ya miaka 14 wanavyopigwa mimba?
 
Mleta uzi huu umekurupuka sema hapa utaelewana. kwa kuwa wewe ufuate alichokiamurisha Mwenyezi Mungu unaona makosa ila shekhe ponda yuko sahihi.

Saudia Arabia ni nchi ya kiarabu ila haitumii sheria za dini ya kiislamu . Na waarabu sio wote waislamu KITOVU cha dini ya uislam sio sahihi kusema saudia Arabia
Acha uwongo jinga wewe.
 
Attachments

  • Screenshot_20230406-055246.png
    Screenshot_20230406-055246.png
    196.1 KB · Views: 3
Kweli ujinga hukuingia kwa namna nyingi.

Sasa waislamu waufuate uislam wao au usaudi arabia?

Saudi Arabia ni nchi tu ambayo viongozi wake wanaweza kupindisha mambo kwa maslahi binafsi katika sheria zao.
 
Hujui kitu ndoa za jinsia moja zinaanza kubarikiwa kanisani ,uliza wenzio hata humu uzi upo.

shekhe ponda kasema kweny Qur an na pia hizo ndoa kwa waislamu ni chache sana kwa zama hizi ila kuna hekima kubwa na faida kwani kunatokea emergency ...Kama unataka faida zipo kwa mwanaume Mfano watoto wa shule za msingi wanapigwa mimba na mume kufungwa kwa vile kazaa na mtoto ..Je kili kichanga kinazaliwa wakati babaake yupo jela je familia inaendaje baba yupo jela ? Na vip kuhusu haki ya malezi ya kichaga kwa babaake ?

Huoni kwamba baada ya beleghe lolote laweza kutokea ni kwamba jamii zetu nyingi hata kama sio za kiislamu mtoto akishapewa mimba wanakimbilia kumuozesha maana tayar kashapata mtoto ili mtoto alelewe na wazazi pia kutoa aibu.

ushawahi kuzunguka kuangalia hata takwimu za watoto wa kike chini ya miaka 14 wanavyopigwa mimba?
Hivi unajiona ulivyo mjinga??

Kanisa katoliki gani linafungisha ndoa za mashoga duniani?

Alafu wapi imesemwa kuwa suluhisho la mimba za utotoni ni watoto wa dogo kuolewa?? Nani kakufundisha hilo? Shule gani?

Kwa hiyo kwa sababu kuna tatizo la ushoga basi tuhalalishe ushoga?
Baazazi mkubwa wewe!!
 
Kweli ujinga hukuingia kwa namna nyingi.

Sasa waislamu waufuate uislam wao au usaudi arabia?

Saudi Arabia ni nchi tu ambayo viongozi wake wanaweza kupindisha mambo kwa maslahi binafsi katika sheria zao.
Unawezaje kutenganisha Saudi Arabia na uislamu wewe? Hivi unaijua hata Saudia wewe?
 
Wewe ni muislamu kuliko Wasaudia?
Kiufupi hakuna faida itakuja baada ya huu mzozo, kwann usibaki na chuki yako moyoni? Ni kama mashoga tu kutaman kila mtu awe shoga! Kwahiyo babaako hana akili kua muislam? Chuki haijawahi jificha.
 
Back
Top Bottom