Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Sijawahi kusema wewe ni Kiranga na kamwe sitasema. Wapo wanaosema ninyi ni kikundi cha watu, na sishurutuki kuwaamini.

Ninachosoma pasipokuathiri mapokeo, ninaamini akaunti iliyotuma ndiyo hiyo hiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.
Hujathibitisha aliyeandika ni mtu.

Inawezekana ni Artificial Intelligence.

Unabishana na bit la Artificial Intelligence sasa.

Thibitisha aliyeandika ni mtu.
 
Hujathibitisha aliyeandika ni mtu.

Inawezekana ni Artificial Intelligence.

Unabishana na bit la Artificial Intelligence sasa.

Thibitisha aliyeandika ni mtu.
Kuna mahali nimesema aliyeandika ni mtu? Usinilishe maneno.

Nimetanabaisha wazi, "ninaamini akaunti iliyotuma ndiyo hiyo hiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho"

Hivyo, iwe roboti ama AI au iwe mtu, lakini akaunti iliyotumika na inayotumika hata sasa ni ya KIRANGA.
 
Thibitisha akaunti iliyotumika ndiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.

Akaunti inawezaje kutaka uthibitisho?
 
Huo ni mkakati kwenye ushindani na mwamposa.


Wacha cheche ziwake na bila shaka ataenda pale ziwa Victoria au Tanganyika ili apate mbili tatu.
 
Thibitisha akaunti iliyotumika ndiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.

Akaunti inawezaje kutaka uthibitisho?
Akaunti nyuma ya pazia inatumika. Na mtumiaji anaweza kuwa mtu halisia ama roboti au AI.

Thibitisha kama wewe si mmoja kati ya hao.

Akaunti ni kiunganishi tu.
 
Hehehehe
Hahahaha

Mkuu mbona unaweka mpira kwapani mapema hivyo
 
☆☆☆ ᴡᴀᴋᴀᴛɪ ᴍᴡɪɴɢɪɴᴇ ᴍᴜᴏɴᴇᴋᴀɴᴏ ᴡᴀ ɴᴊᴇ ʜᴜsᴀᴅɪғᴜ ʏᴀʟɪʏᴏᴍᴏ ɴᴅᴀɴɪ ᴊᴀᴘᴏ ʜᴀᴛᴜᴘᴀsᴡɪ ᴛᴍᴋᴜɪᴘᴀ ᴢᴏᴛᴇ % ᴋᴡᴀ ʜɪɪ ᴍᴀɴᴛɪᴋɪ
 
Aelezwe ukweli kuwa Rasta na tattoo hazitakiwi Huku hvyo vipini na matatoo aviondoee Mara Moja na kesho tutavamia mkutano wake na kuweka mabango
 
Dunia ya sasa habari bila picha video clip sw n takataka TU.
 
Kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alipo fikisha umri wa siku nane alitahiriwa kama ilivyo kuwa mila na desturi za kiyahudi
ukiokoka tabia zote za kale unaachana nazo. Remmy ongala alipookoka ilibidi anyoe rasta zake, akina chidumule walipookoka waliachana na mitindo ya dunia why huyu anafuatisha dunia?
 
ukiokoka tabia zote za kale unaachana nazo. Remmy ongala alipookoka ilibidi anyoe rasta zake, akina chidumule walipookoka waliachana na mitindo ya dunia why huyu anafuatisha dunia?
mtu kaokoka bado ana stock ya vinjunga.!
 
Kwanini mtumishi wa mungu anakula malaya

Majibu: kwasababu mtumishi wa Mungu ana nyege.
 
South Africa,wanaume wanatoboa siko Moja la kulia, ni Mila zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…