Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Hanadumisha Mira Pihaa 😂vipi kuhusu kipensi au kinjunga kama wanavyoita vijana.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
View attachment 2835952
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hanadumisha Mira Pihaa 😂vipi kuhusu kipensi au kinjunga kama wanavyoita vijana.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
View attachment 2835952
Hujathibitisha aliyeandika ni mtu.Sijawahi kusema wewe ni Kiranga na kamwe sitasema. Wapo wanaosema ninyi ni kikundi cha watu, na sishurutuki kuwaamini.
Ninachosoma pasipokuathiri mapokeo, ninaamini akaunti iliyotuma ndiyo hiyo hiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.
Kuna mahali nimesema aliyeandika ni mtu? Usinilishe maneno.Hujathibitisha aliyeandika ni mtu.
Inawezekana ni Artificial Intelligence.
Unabishana na bit la Artificial Intelligence sasa.
Thibitisha aliyeandika ni mtu.
Thibitisha akaunti iliyotumika ndiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.Kuna mahali nimesema aliyeandika ni mtu? Usinilishe maneno.
Nimetanabaisha wazi, "ninaamini akaunti iliyotuma ndiyo hiyo hiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho"
Hivyo, iwe roboti ama AI au iwe mtu, lakini akaunti iliyotumika na inayotumika hata sasa ni ya KIRANGA.
Huo ni mkakati kwenye ushindani na mwamposa.Moderator ninawaomba msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine please.
Haya back to the point.
1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?
Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.
2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?
Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama ake.
3. VIPI KUHUSU KIPINI? NA KIPINI JE? INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?
Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka.18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa ana dumisha mila na desturi za kwao.
NA MPIRA UMEKWISHAAAA
Akaunti nyuma ya pazia inatumika. Na mtumiaji anaweza kuwa mtu halisia ama roboti au AI.Thibitisha akaunti iliyotumika ndiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.
Akaunti inawezaje kutaka uthibitisho?
HeheheheModerator ninawaomba msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine please.
Haya back to the point.
1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?
Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.
2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?
Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama ake.
3. VIPI KUHUSU KIPINI? NA KIPINI JE? INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?
Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka.18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa ana dumisha mila na desturi za kwao.
NA MPIRA UMEKWISHAAAA
Bora niende kwa mganga moja kwa moja kuliko hawa manabii wenuWatu msipo msifu Mungu basi hata mawe yatamsifu. Hayo mawe ndio akina sisi sasa mkuu
Hawa manabii wanatutombea sana wake zetuIla Kanisa limevamiwa na watu hawashuki.
Sawa tatoo naelewa hazifutiki, sasa hivyo vipini, nywele na mavazi mbona habadillishi? inaonekana bado hana roho mtakatifu ndani yake.
Akaunti inawezaje kutaka uthibitisho?Akaunti nyuma ya pazia inatumika. Na mtumiaji anaweza kuwa mtu halisia ama roboti au AI.
Thibitisha kama wewe si mmoja kati ya hao.
Akaunti ni kiunganishi tu.
ukiokoka tabia zote za kale unaachana nazo. Remmy ongala alipookoka ilibidi anyoe rasta zake, akina chidumule walipookoka waliachana na mitindo ya dunia why huyu anafuatisha dunia?Kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alipo fikisha umri wa siku nane alitahiriwa kama ilivyo kuwa mila na desturi za kiyahudi
mtu kaokoka bado ana stock ya vinjunga.!ukiokoka tabia zote za kale unaachana nazo. Remmy ongala alipookoka ilibidi anyoe rasta zake, akina chidumule walipookoka waliachana na mitindo ya dunia why huyu anafuatisha dunia?
South Africa,wanaume wanatoboa siko Moja la kulia, ni Mila zao!Haya back to the point.
1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?
Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.
2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?
Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama ake.
3. VIPI KUHUSU KIPINI? NA KIPINI JE? INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?
Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya Kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka.18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa ana dumisha mila na desturi za kwao.
NA MPIRA UMEKWISHAAAA
Kumbe?Kwani Mtumishi Lovy ni nabii feki