mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko siji ww! Sitapata mdaTwendeni tukapokee upako.
Wajinga ndio waliwao, kila siku mnaliwa vichwa na manabii feki wapya, hivi yote ni kukosa muelekeo ndio maana mnahangaika. Hamlijui kanisa la kweli.Hakuna atakae angamia wala nini ni wasiwasi wako tu
Ulisikia akijamba? Harufu yake ilikufikia na ukajua imetoka kwa LIKUD?Kama hayupo kwenye payroll thibitisha hilo, pia ni kosa lake na stahili kuchukuliwa kuwa yupo kwenye payroll.
Yani kujamba ajambe LIKUD, halafu lawama unanipa mimi kwa sababu nimesema LIKUD kajamba?
Maana katuambia mwenyewe.
Na crazy jeans 😁😁vipi kuhusu kipensi au kinjunga kama wanavyoita vijana.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
View attachment 2835952
Huyu aliwahi kusema Yanga inashinda 2-0 ,Algeria na wasiposhinda anajiondoa JFUpo sahihi usikilizwe
Na wewe unaweza kuthibitisha kwa bayana kuwa mimi ninayeandika ni mimi Kiranga na si mtu mwingine aliyevamia simu ya Kiranga?Ulisikia akijamba? Harufu yake ilikufikia na ukajua imetoka kwa LIKUD?
Lawama umepewa wewe kwa sababu katika uzi huu hakukuwepo na maelezo ya yeye kujamba.
Kukuambia haitoshi, lazima uthibitisho uwe bayana. Kama kusema tu inatosha, basi MUNGU yupo. Na itoshe.
Kwa kuongezea tu hapoModerator ninawaomba msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine please.
Haya back to the point.
1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?
Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.
2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?
Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama ake.
3. VIPI KUHUSU KIPINI? NA KIPINI JE? INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?
Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka.18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa ana dumisha mila na desturi za kwao.
NA MPIRA UMEKWISHAAAA
Sijawahi kusema wewe ni Kiranga na kamwe sitasema. Wapo wanaosema ninyi ni kikundi cha watu, na sishurutuki kuwaamini.Na wewe unaweza kuthibitisha kwa bayana kuwa mimi ninayeandika ni mimi Kiranga na si mtu mwingine aliyevamia simu ya Kiranga?
Au unakubali tu kuwa mimi ninayeandika ni Kiranga kwa kuwa nakwambia tu mimi ni Kiranga bila wewe kuthibitisha hilo?
Acha kutetea upuuzi, hizo si mila na desturi za kikristo. Alitakiwa anyoe na aache kuvaa kipini ili ku behave tabia za kikristo. Huyo mtumishi still ni mtu wa duniani tu