Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Mkaibie kwingine itoshe kusema huyo ni tapeli kama matapeli wengine
Tapeli maana yake ni mkopaji asielipa. Mtumishi wa Mungu ameshakopa nini kwako hadi umuite tapeli.

Usimnenee Mtumishi wa Mungu uovu
 
Hakuna atakae angamia wala nini ni wasiwasi wako tu
Wajinga ndio waliwao, kila siku mnaliwa vichwa na manabii feki wapya, hivi yote ni kukosa muelekeo ndio maana mnahangaika. Hamlijui kanisa la kweli.
 
Kama hayupo kwenye payroll thibitisha hilo, pia ni kosa lake na stahili kuchukuliwa kuwa yupo kwenye payroll.

Yani kujamba ajambe LIKUD, halafu lawama unanipa mimi kwa sababu nimesema LIKUD kajamba?

Maana katuambia mwenyewe.
Ulisikia akijamba? Harufu yake ilikufikia na ukajua imetoka kwa LIKUD?

Lawama umepewa wewe kwa sababu katika uzi huu hakukuwepo na maelezo ya yeye kujamba.

Kukuambia haitoshi, lazima uthibitisho uwe bayana. Kama kusema tu inatosha, basi MUNGU yupo. Na itoshe.
 
Kwani Mtumishi Lovy ni nabii feki
Wajinga ndio waliwao, kila siku mnaliwa vichwa na manabii feki wapya, hivi yote ni kukosa muelekeo ndio maana mnahangaika. Hamlijui kanisa la kweli.
 
Asante kwa Majibu Konki Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha kutetea upuuzi, hizo si mila na desturi za kikristo. Alitakiwa anyoe na aache kuvaa kipini ili ku behave tabia za kikristo. Huyo mtumishi still ni mtu wa duniani tu
 
Ulisikia akijamba? Harufu yake ilikufikia na ukajua imetoka kwa LIKUD?

Lawama umepewa wewe kwa sababu katika uzi huu hakukuwepo na maelezo ya yeye kujamba.

Kukuambia haitoshi, lazima uthibitisho uwe bayana. Kama kusema tu inatosha, basi MUNGU yupo. Na itoshe.
Na wewe unaweza kuthibitisha kwa bayana kuwa mimi ninayeandika ni mimi Kiranga na si mtu mwingine aliyevamia simu ya Kiranga?

Au unakubali tu kuwa mimi ninayeandika ni Kiranga kwa kuwa nakwambia tu mimi ni Kiranga bila wewe kuthibitisha hilo?
 
Moderator ninawaomba msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine please.

Haya back to the point.

1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?

Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.

2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?

Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama ake.

3. VIPI KUHUSU KIPINI? NA KIPINI JE? INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?

Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka.18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa ana dumisha mila na desturi za kwao.

NA MPIRA UMEKWISHAAAA
Kwa kuongezea tu hapo
Japo me sio mfuasi wa nabii
Nabii Samuel pia alikuwa na rasta
Haja wai kunyoa tangu azaliwe mpaka anakufa
 
Na wewe unaweza kuthibitisha kwa bayana kuwa mimi ninayeandika ni mimi Kiranga na si mtu mwingine aliyevamia simu ya Kiranga?

Au unakubali tu kuwa mimi ninayeandika ni Kiranga kwa kuwa nakwambia tu mimi ni Kiranga bila wewe kuthibitisha hilo?
Sijawahi kusema wewe ni Kiranga na kamwe sitasema. Wapo wanaosema ninyi ni kikundi cha watu, na sishurutuki kuwaamini.

Ninachosoma pasipokuathiri mapokeo, ninaamini akaunti iliyotuma ndiyo hiyo hiyo imekuwa kinara katika kutaka uthibitisho.
 
Acha kutetea upuuzi, hizo si mila na desturi za kikristo. Alitakiwa anyoe na aache kuvaa kipini ili ku behave tabia za kikristo. Huyo mtumishi still ni mtu wa duniani tu

Kwenye Biblia imeandikwa kwamba Yesu alipo fikisha umri wa siku nane alitahiriwa kama ilivyo kuwa mila na desturi za kiyahudi
 
Back
Top Bottom