Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Kweli SINGLE MAZA sio wa kuoa..
#YNWA
 
Kwa sababu mzazi mwenzio amemshirikisha mume wake, na mume akaikataa, basi na wewe mshirikishe mkeo mpya, na yeye akiikataa hiyo mimba basi ngoma droo.
 
Nyie ndo mnawatia doa wanawake walioolewa wakiwa na watoto, ule usemi kua baba mtoto atakuja kupasha kiporo ndio huu sasa.
 
Nenda kwny uzi wa kula tunda kimasihara utagundua hakuna uhusiano wowote wa kiwa na mtoto na kupasha kiporo demu akiamua kuliwa analiwa tu..
Umalaya tabia ya mtu mnawaonea bure ma single maza
Nyie ndo mnawatia doa wanawake walioolewa wakiwa na watoto, ule usemi kua baba mtoto atakuja kupasha kiporo ndio huu sasa.
 
hata kuandika hawezi kwa mfumo huu jiandae na wewe kupewa mimba na darasa lako la MEMKWA
 
Ana kazi nzuri na mshahara mnene kuliko mm mkuu. Fedha anayo, nadhani anaweza kujitenga endapo mumewe atazingua.
Kama ni hivyo basi mshauri atoke kwa jamaa aanze kujiyegemea kabisa .....ili uwoga na mashaka kwako vipungue maana yule sasa hivi akidhuriwa kwa lolote ujue na wewe lazima uhusishwe tu hakuna namna
 
Kuna muda huwa nawaza hv hii mikasa ni ya kweli ama kuna kampeni maalum ya kuwachafua hawa singo maza? Nawahurumia sana kiukweli sina tu namna ya kuwasaidia!
 
Kuna muda huwa nawaza hv hii mikasa ni ya kweli
Mikasa hii ni ya kweli mkuu. Isipokuwa wanaJF kwa weledi wao huwa wanabadilisha kidogo ili wahusika wasielewe kuwa ndiyo wao wanazungumziwa.

Lkn pia wanaJF huwa wanaepuka kutaja maeneo (mitaa/miji/mikoa/majiji) yalikotokea matukio haya kwa lengo la kuwachanganya wahusika. Usikute kisa hiki kinakuhusu mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo sisi ndio tuumize kichwa kuwaza utafanyaje pambana na hali yako.
Hii inaitwa comment ya kufungia mwaka
 
sema mtatisha sana...mtoto wa kwanza na wa nne baba mmoja halafu wa pili na tatu baba mmoja
 
The blood will fall u wereva! Acha upoyoyo! Accept the price of your desire
 
Mwambie asiwazee
 
Aisee hi Kali Sana,Cha msingi kubali tu maana ushavunja ndoa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…