Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

mademu wa siku hizi ndio walivyo, atakukamua mpaka ukimkimbie. Kama umempenda na hutaki atoke kwenye himaya yako mpe tu. Ila next time ataomba laki
 
Muulize anajiuza kama anajiuza frsh mwanangu mi nachangia 25000 nawe 25000 halafu tunampiga mtungo utaanza ww kumla mi nafuata
 
Nakuunga mkono kwa ulichomwambia,ila kwanini hukupokea simu zake sasa hapo ndio umeonyesha udhaifu
 
Na Bado unaomba ushaur???
 
Kua mkweli mkuu... hukutaka kuichakata kwelii? [emoji23]
 
Piga chini.

Mindset ya wanawake wasasa ni kwamba ukichukua no yake unamtaka kingono tu.
Sasa kwani huwa tunataka nini mkuu? Ni ngono, hayo mengine huwa yanakuja baadae. Kama kuna jambo rasmi lisilohusiana na ngono huwa linazungumzwa kwanza ndo namba zinafata

Amuulize tu, hiyo elfu hamsini watafanya mara ngapi? Mtu anauza wewe unataka mapenzi.
 
Nakuunga mkono kwa ulichomwambia,ila kwanini hukupokea simu zake sasa hapo ndio umeonyesha udhaifu
Niliacha kupokea simu zake baada ya kumwambia ukweli, hivyo alijua kuwa kayaboronga. Kwa muelewa alipata funzo la kutorudia kwa mwingine, mimi nilijitumia kama darasa tu la kumfunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…