Kama uko below 25 dating for fun it's okay - Have fun.Sasa kwani huwa tunataka nini mkuu? Ni ngono, hayo mengine huwa yanakuja baadae. Kama kuna jambo rasmi lisilohusiana na ngono huwa linazungumzwa kwanza ndo namba zinafata
Amuulize tu, hiyo elfu hamsini watafanya mara ngapi? Mtu anauza wewe unataka mapenzi.
Download section 👇, download failedWakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Haina maana mkuu hii njia naitumia pia ,funika kombe mwanaharamu apite.Kama hamna pesa mnahangaika kutongoza wanawake wa kazi gani?
Kihela hicho ni cha kulia kweli mkuu?
Achana na masuala ya kutongoza, Wanawake siku hizi hawataki kutongozwa na kuzungushana .Wakuu
Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi.
Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali.
Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k.
Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza kuomba pesa.
Wakuu nipeni mawazo yenu kwenye hili jambo.
Wewe ni mmoja wa asilimia chache ya wanaume kamili hapa duniani.Miaka kadhaa nyuma katika pita pita za social media nilikutana na binti mmoja ambae nilisoma nae Primary, takriban miaka 25 iliyopita.
Nikawasiliana nae na kama ilivyo ada tukabadilishana namba (hata hakuwa ananikumbuka zaidi ya kuamini maneno yangu tu baada ya kumtajia shule na darasa).
Katika maongezi kabla hata ya kukutana, ghafla akapatwa na 'shida', 'mzigo' wake ulikwama bandarini na kuwa alihitaji Mil. 1 ya haraka.
Kwanza nilimwambia subiri nitakucheki, ila ikawa kama deni. Nikaona kwanini najitesa kwa mtu ambae hata hanijui. Nilimchana live tu kuwa sio kwamba sina hiyo pesa lakini siwezi kukupa sababu kwanza ulikuwa hata hunijui hata baada ya kukumbusha, kama isingekuwa unawasiliana na mimi ungeomba kwa nani hiyo pesa, sio kila anaekuomba namba ana nia ya kukutongoza kimapenzi na mwisho kabisa sio kila mwanaume utakaempata ni ukombozi wa ufukara wako.
Japo ilikuwa ni kwenye simu, lakini sauti yake ilisikika kabisa kuwa alifedheheka. Na baada ya hapo sikupokea tena simu zake japo alijaribu sana kunipigia.
Kuna wakati ni bora kuwachana ukweli tu hawa viumbe.
Kwani mke unamtaka ili umfanyaje?Kama uko below 25 dating for fun it's okay - Have fun.
Ila kama uko Over 25, Play time is over. Ni muda wa kutafuta mke wa Maisha.
Nakubaliana na wewe lkn huenda kungekuwa na maisha baada ya kumwambia ukweli,huenda mngekuwa na urafiki wenye afya kwakuwa kuna kitu ulimfundishaNiliacha kupokea simu zake baada ya kumwambia ukweli, hivyo alijua kuwa kayaboronga. Kwa muelewa alipata funzo la kutorudia kwa mwingine, mimi nilijitumia kama darasa tu la kumfunza.
Kuna wanaume wangemwingilia huyo mwanamke na huyo 1m asiipate na bado angeendelea kuipeleka. Mwanamke anayeuza hata bure anatoa.Wewe ni mmoja wa asilimia chache ya wanaume kamili hapa duniani.
Uli destroy her Ego, Alifikiri ukimpa 1M baadaye utaomba mzigo then mtapunguziana au utamsamehe kabisa.
Only weak Man destruct themselves with pleasure.
Infact lengo kuu la kuoa ni Company - Kubalance equation.Kwani mke unamtaka ili umfanyaje?
Infact ni kweli kuna Men ambao watakua wanamkula for free.Kuna wanaume wangemwingilia huyo mwanamke na huyo 1m asiipate na bado angeendelea kuipeleka. Mwanamke anayeuza hata bure anatoa.
Acheni kudanganya vijana, mtu kaomba kuwa kwenye urafiki, wameshakubaliana kuwa marafiki ni sawa kabisa. Huo urafiki unajengwa kwenye misingi gani? Unadhani ni sawa the first time mnaanza urafiki mtu aanze kuomba pesa?Mpe, wewe umemtongoza siku ya kwanza, yeye kangoja siku 3; shida Iko wapi? Wakati mwingine mnawalaumu au wanawake Kwa sababu you are not Men enough!
Wewe unafikiri ni Nini mwanamke aliyekuona siku Moja ukamtongoza anavutiwa nacho na wewe? Zaidi ya pesa? Kama ulikuwa unatafuta mwanamke sound, ungemzoea, akawa rafiki then umtongoze!
Wewe kumtongoza kwa nia ya kulala naye is as selfish as yeye kukuomba pesa, it goes hand in hand, wewe unautaka Mwili wake na hakupendi, kwa nini asiombe hela?
Kwa nini wewe uone Hana maadili kwa kuomba hela, na kufikiri Wewe una maadili kwa kumwambia unampenda hiyo hiyo uliyomwona; muwe mna tumia akili baada ya kiwatweza hawa Dada zetu!
Kama huna hela mwache mtoto wa watu, Nenda katongoze ndugu zako au watu uliowazoea wanaokupenda natural, pumbavu Kabisa, vijana wa hovyo binti!
Acheni kudanganya vijana, mtu kaomba kuwa kwenye urafiki, wameshakubaliana kuwa marafiki ni sawa kabisa. Huo urafiki unajengwa kwenye misingi gani? Unadhani ni sawa the first time mnaanza urafiki mtu aanze kuomba pesa?
Wadada baadhi wamekuwa wa hovyo tu, hawawezi hata kuvumilia wakamfaham mtu kidogo, wapo kibiashara zaidi.
Mdada wa hivyo unamwambia mkutane sehemu ili mfanye exchange, akupe uchi in exchange for cash. Otherwise hafai kuwa kwa mahusiano.
Idiot tena mkuu! Basi tufunge mjadala...What is the depth of love you idiot? Matapeli wa Dada zetu nyinyi! Kwa nini huyo mwanaume asingoje afaham mwanamke ambaye haombi hela? Mimi sijawahi kasirika kuombwa hela, why? I don’t date wanawake wasiofaa!
OK, twende taratibu. Wakati wewe umemuona binti barabarani ukaomba namba ni kigezo kipi kisichohusisha ngono ulikitumia kusema hii namba nachukua nione kama anafaa kuwa mke?Infact lengo kuu la kuoa ni Company - Kubalance equation.
Ingekua kuoa ni sababu ya ngono tu, Mimi nisingeoa, Ningekua nalipia tu kila nikijisikia nyege.
Ningekua nabadilisha utamu tu kilasiku, Jana mwembamba, Leo mweupe, kesho mweusi, Keshokutwa chibonge yanini kuoa mmoja wakati lengo ni utamu pekee?
Mapenzi ni zaidi ya ngono.
Mwanamke sio chombo cha Starehe.
Change your Mentallity.
Sikia mkuu, mara zote mwanamke msiyefahamiana halafu ukataka namba yake bila kuwasilisha jambo rasmi kwanza akili yake straight inaenda kwenye ngono, hiyo ni nature. Sasa, wanawake wanaouza miili yao wamegawanyika sehemu mbili, direct na indirect ila as long as kakuomba jambo linalohusisha pesa mwanzoni huyo anakuuzia.Infact ni kweli kuna Men ambao watakua wanamkula for free.
Lakini hilo haliongezi wala kupunguza point yangu ya kutokujirahisisha kwa wanawake na kupoteza potential zako just for sex.
Kwanza kila mwanaume kichwani kuna View ya mwanamke amaijenga, Maybe mdada fulani mpole aliyevalia kiheshima ukiachana na zile sifa za ndani kama Heshima, uwajibikaji na Nidhamu.OK, twende taratibu. Wakati wewe umemuona binti barabarani ukaomba namba ni kigezo kipi kisichohusisha ngono ulikitumia kusema hii namba nachukua nione kama anafaa kuwa mke?
Wake za watu ndio utelezi free broVipi, umechoka kupata utelezi mwepesi mkuu unataka uupate kwa tabu sana.
Maneno hayo ni ya kueneza mitazamo hasi kuhusu wanawake.Sikia mkuu, mara zote mwanamke msiyefahamiana halafu ukataka namba yake bila kuwasilisha jambo rasmi kwanza akili yake straight inaenda kwenye ngono, hiyo ni nature. Sasa, wanawake wanaouza miili yao wamegawanyika sehemu mbili, direct na indirect ila as long as kakuomba jambo linalohusisha pesa mwanzoni huyo anakuuzia.
TATIZO LENU MNATAKA MALAYA WAACHE UMALAYA WAWE WAKE ZENU NDO MAANA NDOA HAZIDUMU.
Mkuu, ukitaka mke chukua mwanamke ambaye mlifahamiana katika mambo mengine. Hii ya dada samahani naomba namba ni too risky.Kwanza kila mwanaume kichwani kuna View ya mwanamke amaijenga, Maybe mdada fulani mpole aliyevalia kiheshima ukiachana na zile sifa za ndani kama Heshima, uwajibikaji na Nidhamu.
Sasa ukikutana na someone akafit kwenye hiyo puzzle roho inashtuka hivyo una Muapproach.
Lengo la kumuaporoach ni kutaka kujenga naye ukaribu ili umjue vizuri na upate kuona kama je, tabia zake za ndani zinakufaa pia?
Ukigundua anasifa zinazokufaa like uaminifu, upendo, maadili, uvumilivu, uwezo wa mawasiliano, na utayari wa kujenga familia pamoja, Then there she is.
Ukigundua hakufai ni nje tu ndiyo anajiweka kiheshima - Unaachana naye, She is not your type.