Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

Kila mwanamke ukimuomba namba bila kuweka wazi jambo rasmi kwanini unahitaji namba ngono lazima ije kichwani kwake.

Nikuulize, katika washkaji zako, kuna hata mmoja ulikutana naye barabarani humjui ukamsimamisha ukamuomba namba ili muwe washkaji?
 
Eeh
Uwa nakupenda picha ikianza iv maan jambaz anatisha kweliiiii pole kaka
 
We ukiomba number unapenda mfanye biashara😂?
 
Fuata huu ushauri... Kitaalamu unaitwa BTTS
 
Nakubaliana na wewe lkn huenda kungekuwa na maisha baada ya kumwambia ukweli,huenda mngekuwa na urafiki wenye afya kwakuwa kuna kitu ulimfundisha
Nafsi ya mwanadamu imeumbwa na kisasi , kitendo cha kumfedhehesha kisingeweza fanya tuwe sawa na kuna sehemu ya chuki ingebaki ndani yake ambayo baadae ingeweza leta athari. Pia nilishamdharau hivyo nahisi nisingeweza mpa heshima anayostahiki baada ya hapo.
 
jiongeze mkuu, nenda kale mzigo
 
We ukiomba number unapenda mfanye biashara😂?
Hapana.

Binafsi sio mdau wa kununua ngono, Ninapenda kuwa kwenye mahusiano yaliyojikita zaidi kwenye Uadilifu na Kuheshimiana.

Niko Obssesed sana na Growth katika nyanja zote hivyo siingii kwenye mahusiano yeyote ambayo hayatupeleki sisi wawili katika Ukuaji kifamilia, kiuchumi, kiafya na Kijamii.
 
Sawa mkuu!!

Fanya hivyo sababu binafsi nimeshaoa tayari.
 
Unazungumziaje swala la A man Kuwa provider?
 
Unazungumziaje swala la A man Kuwa provider?
Mwanaume kuwa provider ni suala la kihistoria na tamaduni tofauti tofauti hata kidini pia.

Lakini nyakati zimebadilika rafiki yangu.

Kwa sasa jukumu hilo linapaswa kuwa la kushirikiana kulingana na uwezo wa kila mmoja.

Sio pesa tu ndiyo humfanya mwanaume kuwa provider, bali pia kuna kumuongoza mwanamke ili awe salama kihisia, kiakili na Kiafya [Hii nayo ni providing].

Mahusiano huwa mazuri ikiwa yatajengwa katika maono ya pamoja.

Uhusiano huwa mzuri ikiwa wote mna ushirikiano katika majukumu na si kwasababu ya shinikizo la kitamaduni au kidini pekee.

Wote mnapaswa kuwajibika huku mkilikimbizia lengo lenu kuu pamoja.

CC: Qashy Lilith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…