Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Ombi gani akati umetoa taarifa ,vijana hapo tu umetumia sms hamuonanani umetetemeka hivyo je uso kwa uso siitakubidi ule ugoro
Asubuhi kanipigia simu nimeongea nae vzr tu na nimemuomba Leo tuonane kakubali vizuri tu [emoji39][emoji39][emoji39] kanielewa sana japo ni Demu ninaeshimiana nae sana ndio maana nilimtumia SMS ya maelekezo mengi nashukuru amenielewa ila wadau penzi jipya nn cha kuzingatia wakuu lisivunjike haraka?
 
#MREJESHO#**************************

Toa pesa sana
 
Mpime damu kubwa ,kwakipindi Cha miezi 9(kila baada ya miezi 3) Mambo mengine ndipo yasonge
 
#MREJESHO#**************************
Asubuhi kanipigia simu nimeongea nae vzr tu na nimemuomba Leo tuonane kakubali vizuri tu [emoji39][emoji39][emoji39] kanielewa sana japo ni Demu ninaeshimiana nae sana ndio maana nilimtumia SMS ya maelekezo mengi nashukuru amenielewa ila wadau penzi jipya nn cha kuzingatia wakuu lisivunjike haraka?
Kwa jinsi ulivyomtongoza isije ikawa kwenye maongezi yenu umemuelewa vibaya kiasi cha kudhani ni penzi jipya kumbe sivyo..
 
Back
Top Bottom