Mmmh kila mtu na akipendacho mi wigi hapana kwakweli na mbaya zaidi mmewangu ananifurumua na hilo wigi kabla hakujakuchaTena mawigi ndio yanasevu bajeti zaidi maana lenyewe garama ipo kwenye kulinunua tu baada ya hapo ni mseleleko mwaka mzima [emoji38][emoji38][emoji38] yaani mkeo akiwa nayo at least matano hivi ...ndio Basi tena
anha hapo sawa.Sivaagi mawigi nasuka nywele simple but nzuri zisizokera mfano dred hazikeri na sometime nasuka yebo ama nabana mitindo tofauti nywele yangu haina dawa
Kwema ndugu zangu watanganyika?
Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa,nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.
Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style flani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu.ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.
mpaka sasa kaninunia.ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.
Asanteni
View attachment 2044854
25,000 kwa 30,000.Bei ya kunyoa pale unaijua...!?
Naomba nione hii..Bora umwambie asuke mkataba 55,000 anakaa nao mwaka gharama ni 10,000 kuosha na kubadilisha style ukichoka
Umenipa idea kubwa sana [emoji16][emoji16]Bora umwambie asuke mkataba 55,000 anakaa nao mwaka gharama ni 10,000 kuosha na kubadilisha style ukichoka
umemwambia hizo nywele zinavyouma?Bora umwambie asuke mkataba 55,000 anakaa nao mwaka gharama ni 10,000 kuosha na kubadilisha style ukichoka
umemwambia hizo nywele zinavyouma?
Ama sio hizo kwenye picha?
25,000 kwa 30,000.
Lakini unaweza kaa nazo mwezi mzima.
Mamaa..hii imekaa kuvutwa[emoji23]
Mamaa..hii imekaa kuvutwa[emoji23]
Inaonekana inauma kweli[emoji23]umemwambia hizo nywele zinavyouma?
Ama sio hizo kwenye picha?
Vitunguu nimesuka mara moja tu maishani sijui kama nitarudia...[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]kama vitunguu tu
25,000 kwa 30,000.
Lakini unaweza kaa nazo mwezi mzima.
Vitunguu nimesuka mara moja tu maishani sijui kama nitarudia...[emoji23][emoji23]
Hiyo nywele ni buku tu.Kwema ndugu zangu watanganyika?