Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Tena mawigi ndio yanasevu bajeti zaidi maana lenyewe garama ipo kwenye kulinunua tu baada ya hapo ni mseleleko mwaka mzima [emoji38][emoji38][emoji38] yaani mkeo akiwa nayo at least matano hivi ...ndio Basi tena
Mmmh kila mtu na akipendacho mi wigi hapana kwakweli na mbaya zaidi mmewangu ananifurumua na hilo wigi kabla hakujakucha
 
Kwema ndugu zangu watanganyika?
Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa,nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.
Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style flani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu.ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.
mpaka sasa kaninunia.ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.
Asanteni

View attachment 2044854

Mbona safi Sana; Kwa mambo Kama haya ndo twaweweza sema Nani kaoa Na Nani kaolewa; sio dyudyu tu
 
Mbona sioni ajabu mkuu. Mimi napendelea sana kusuka twende kilioni. Tena za mkono kabisa mistari mitano na wakati mwingine miwili. Mueleze hali halisi ya uchumi wenu. Ubaya tu ni usije kuwa unambania halaf nje unahonga mawigi ya peruvian na kuwatamani juu.

Ila honestly napenda nywele natural. Aisee kusukia manywele naonaga kero mno. Naona kama kichwa hakihemi. Mawigi ndo kabisaaa sina... raha sana kuwa natural bwana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Naomba nione hii..

IMG_6774.jpg
 
A woman's best insurance is some money of her own.

Hapo mnakuwa hamsumbuani over small things.

I hope hautajali akitumia hela yake kusuka.

She's a woman, she doesnt have to look unkempt just because the husband is broke.
 
umemwambia hizo nywele zinavyouma?

Ama sio hizo kwenye picha?

[emoji28][emoji28][emoji28]zinauma siku moja na ukipaka diclopar haziumi sana, kama hawezi nywele zinazouma then za mkono zinamfaaa
 
Kamata mkasi,piga kipara huyo.asikuchoshe.
Mimi juzi kati kaniletea umbea flani wa huko saloon kwao, nikaita kinyozi home akamfanya hivyo yani.tena naona kapendeza tu.

Screenshot_20211215-144934_Instagram.jpg
 
25,000 kwa 30,000.
Lakini unaweza kaa nazo mwezi mzima.

Thubutu labda kama ni kipilipili pro max mi nilikua nanyoa kila wiki mbili nikikaa sana wiki 3 hapo tayari nywele zishakua mbaya kwelikweli
 
Kwema ndugu zangu watanganyika?
Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa,nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.
Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style flani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu.ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.
mpaka sasa kaninunia.ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.
Asanteni

View attachment 2044854
Hiyo nywele ni buku tu.
 
Back
Top Bottom