Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!



Watu wa CCM mna roho mbaya sana,na hiyo ndiyo sifa yenu,kila kitu mmechukua mnachoitaji nini sasa,hamna tofauti na mchawi,Lema amewakimbia aliujua mchezo wenu sasa mnalialia nini?
 
Watu wa

Watu wa CCM mna roho mbaya sana,na hiyo ndiyo sifa yenu,kila kitu mmechukua mnachoitaji nini sasa,hamna tofauti na mchawi,Lema amewakimbia aliujua mchezo wenu sasa mnalialia nini?
Umenikumbusha Oscer Kambona!
 
Kwa hiyo anataka kukana kuwa hakwenda kufanya ujambawazi kwa yule mhindi wa vitenge?
 
Muda mnaopoteza kumsikiliza utopolo wa huyo jamaa bora mngekuwa mnapiga hata nyeto ingewasaidia kiafya!
 
Wee endelea pambio ukisubiri elf 7 wenzio wasongesha maisha

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kakonko hatunaga unafiki na huyo dc wenu akiletwa kwetu siku ya kwanza atajikuta amelala juu ya paa ya nyumba yake.
 
Wajinga na wapiga ramli kama nyie mnapatikana CCM tu. Kama alipanga kumdhuru Lema ajue hata CCM wenzie hawapendi upuuzi huo.
Kama ni kandarasi ya majungu cha kwake Sabaya kinakidhi hill solo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…