johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hiyo inaitwa " kula nyama ya mtu"Amemaliza chadema ameanza vita na ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inaitwa " kula nyama ya mtu"Amemaliza chadema ameanza vita na ccm.
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:
Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.
Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.
Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.
Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?
Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.
Maendeleo hayana vyama!

Watu wa CCM mna roho mbaya sana,na hiyo ndiyo sifa yenu,kila kitu mmechukua mnachoitaji nini sasa,hamna tofauti na mchawi,Lema amewakimbia aliujua mchezo wenu sasa mnalialia nini?DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:
Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.
Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.
Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.
Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?
Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.
Maendeleo hayana vyama!
We n mnyiha wa mbozi unaelewa nini zaidi ya kuchuna ngozi za watukamanda hawezi kukimbnia vita huyo lema ni kama demu malaya tu akigongwa huku anenda kwingine anagongwa sasa hivui anagongewa ulaya
Umenikumbusha Oscer Kambona!Watu wa
Watu wa CCM mna roho mbaya sana,na hiyo ndiyo sifa yenu,kila kitu mmechukua mnachoitaji nini sasa,hamna tofauti na mchawi,Lema amewakimbia aliujua mchezo wenu sasa mnalialia nini?
Kwa hiyo anataka kukana kuwa hakwenda kufanya ujambawazi kwa yule mhindi wa vitenge?Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.
Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?
Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.
Wasaliti ni wasaliti tuuuu haijalishi wapo chama ganiAmemaliza chadema ameanza vita na ccm.
Uwe makini na huyo Jamaa, hajaowa.Wasaliti ni wasaliti tuuuu haijalishi wapo chama gani
Wee endelea pambio ukisubiri elf 7 wenzio wasongesha maishaDC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:
Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.
Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.
Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.
Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?
Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.
Maendeleo hayana vyama!
Dogo anatafuta kiki.nilidhani siasa zimeisha
Hapo Ufipa mzigo wate anachukua Halima Mdee hampati hata jero!Wee endelea pambio ukisubiri elf 7 wenzio wasongesha maisha
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hiyo hukumu itasaidia kuwashawishi wakenye wayapokee mahindi yenu yaliyo pigwa pini hapa longido?Ana hukumu fulani mezani kwake huyo Sabaya!
Kakonko hatunaga unafiki na huyo dc wenu akiletwa kwetu siku ya kwanza atajikuta amelala juu ya paa ya nyumba yake.Dc sabaya ni mwajiriwa huko Hai kilimanjaro, anaishi nyumba ya serikali huko Hai, kilimanjaro. Inakuaje kila siku anazingumziwa kwenye matukio ya arusha? Ninashauri pangua pangua inayokuja ya kuwahamisha wakuu wa Wilaya ,sabaya apangiwe kuwa DC wilaya ya kakonko au biharamulo.
Hapo Holoholo tani kibao za mahindi zinavushwa daily!Hiyo hukumu itasaidia kuwashawishi wakenye wayapokee mahindi yenu yaliyo pigwa pini hapa longido?
Hakika akili zako unazielewa mwenyeweHapo Holoholo tani kibao za mahindi zinavushwa daily!
Wajinga na wapiga ramli kama nyie mnapatikana CCM tu. Kama alipanga kumdhuru Lema ajue hata CCM wenzie hawapendi upuuzi huo.DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:
Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.
Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.
Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.
Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?
Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.
Maendeleo hayana vyama!
Kuoa au kutokuoa kwake hakuniathiri chochoteUwe makini na huyo Jamaa, hajaowa.