Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

You nailed itπŸ’―
 
Mwanamke mjinga ninyule anayeimgia kwenye ndoa akiamini kwamba mumewe hatachepuka. Huyo ni mjinga wakutupwa.

Vile vile mwanaume mjinga ni yule anaingia kwenye ndoa akiamini kuwa mkewe hatatombwer nje ya ndoa. Huyo amekosa hekima kabisa.

Hayo ni mapungufu ya kibinadamu tuu ndani ya ndoa hayakufanyi ushindwe kumsaidia mwanaume ambaye anakulisha, kukuvalisha na kukuhudumia. Huko ni kukosa shukrana
 
Punguza kumuomba Pesa mkeo Yani Hakikisha hata kama umefulia acha kabisa kumuomba Pesa mkeo.

Fanya hivyo ndani ya Miezi mitatu akikuomba Pesa angalia anaomba kwa jambo Gani kama halina Umuhimu usimpe

Yani mfundishe mkeo Mume nani Mzee utakuja siku shikwa ndogo hivi hivi 😏
 
Sikia nikwambie labda kama haujaoa, hivi mlivyooana zile tabia ni hizo hizo tu? Kama mlikuwa vizuri kwanini wewe umebadilika au yeye kabadilika! Wale wanaolala vyumba tofauti lakini watoka geti moja kuweka mezani mshahara wanaweza kweli?
 
Sikia nikwambie labda kama haujaoa, hivi mlivyooana zile tabia ni hizo hizo tu? Kama mlikuwa vizuri kwanini wewe umebadilika au yeye kabadilika! Wale wanaolala vyumba tofauti lakini watoka geti moja kuweka mezani mshahara wanaweza kweli?
Tulia wewe nikwambie ndoa ni kusaidiana sasa kama hatusaidiani wakati wa shida basi hamna faida ya wewe kuwepo hapo ndani ya nyumba.

Kama unakerwa sana na mume wako kuchepuka basi ondoka kama kweli wee superwoman ila kama bado unabakia hapo kuwa na msaada
 
Kwa hiyo we mzee, mshahara wa mwanamke una kazi gani
Kisheria mwanamke hana jukumu la kumtunza mke ndio maana kabla ya kuoa mwanamume anatakiwa awe na uwezo wa kumhudumia mke kwa mahitaji yake yote ya msingi kwa mujibu wa kipato chako.......na sio kinyume chake......

Unatakiwa umuoe mwanamke unayeweza kumhudumia kwa kipato chako na mke anatakiwa aridhike na kipato cha mumewe......

Mwanaume kulilia hela za mkewe ni kujipunguzia uanamume wako ndani ya nyumba......

Hilo jambo halihitaji msukumo kwani kama mkeo ana mapenzi na wewe na anaona juhudi zako za kupambania majukumu yako hapo nyumbani sio tu kutoa kidogo bali anaweza hata kukupa mshahara wake wote wewe ndio upange bajeti......lakini nyakati wanaume wenye uadirifu na fedha za wake zao ni wachache huku wakisifka kwa umalaya....
 
Mweee yaani mke yupo ana hela ndani alafu nikakope kwa marafiki....mwee sasa sii bora ukae na single ujus unakopa kwa marafiki tuu
Kama wewe kweli ni mwanaume unayeyajua na kuyapambania majukumu yako ndani ya nyumba na juhudi zako zikaonekana kwa mwanamke mwenye mapenzi na wewe sio tu kumuomba hela yake bali anakupatia hata mshahara wake wote Wewe upange bajeti........

Ni aghalabu sana kwa mwanaume anayejielewa na kutimiza wajibu wake ndani ya nyumba mkewe kumuacha aumbuke hali ya kuwa yeye anayo nafasi ya kumsitiri mumewe.....ukiona hivyo ujue kuna mambo hayapo sawa.....
 
Alowapiga picha ni mwana, kidume mbegu
 
Ndugu yangu....tusiongee kwa kiburi cha kiuanamume hebu turudi kwenye ubinadamu na utu......

Hebu vaa uhusika vya mke wa mwanaume ambaye ana familia inayomtegemea na Mungu kamjaalia kipato cha kutosha kuwapa mahitaji ya msingi familia yake...... lakini bwana huyo yeye kaamua kuwa mtu wa wanawake na ulevi bila ya kuwakumbuka familia.... badala yake fedha za mwanamke ndio zinaendesha familia.....alafu akishayapanya fedha ndio anakuja kwa mkewe kukopa fedha.... ambapo hata mkewe hana uhakika kuwa fedha hizo atazipanya au lah!

Kiuhalisia mwanaume wa hivyo sio tu kwa mkewe bali hata mtu mwingine huwezi kuwa na moyo wa kujitolea kwake........

Sio kwa kuwa wewe ni mwanaume basi uachwe ufanye unalolitaka then ukiharibikiwa uje udai msaada kwa mkeo kwa kuwa yeye ndio mwandani wako......
 
Kama wewe ni mtu wa karibu na mkeo na juhudi zako za kutimiza wajibu na majukumu yako ndani ya nyumba vinaonekana dhahiri mkeo hawezi kukuacha udhalilike ikiwa uwezo wa kufanya hivyo upo......

Wapo wanawake wanao wakopea mikopo mikubwa waume zao huko makazini kwao na kwenye vikundi vyao kwa dhamana zao
 
Mkeo anaenda beach kujirusha bila ruhusa yako?
 
Labda kapewa ofa
 
Perfect,
Mke anafanya kazi na kuingiza kipato then mtu anahangaika mitaani wakati mwenzake anaweza kumsaidia?

Ila nina wasiwasi jamaa sio mrudishaji, akikopa kwa mama either harudishi au anachelewa kurudisha. Wake zetu ukienda nao sawa hawana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…